Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

The lesson is, sit back and observe. Thats all. Msipende kujitia ujuaji mwingi

How can a world war be ended in one day? We uko sawa akilini kwako. Mlituambia siku za nyuma Israel kavunja viwanda vya kutengeneza Missiles itachukua miaka labda 20 au sio nyie.

Leo mnatuletea story Ayatollah alikuwa target. Chief of staff sijui nani sijui nani bila dalili mnakuja imba ukanisa hapa hahaha. Iran dogo ni level Ingine ndio sababu US anajidai hayupo kwenye vita wakati yupo ndani ya vita, anajua kinacho kuja sio kizuri hapo Middle East Israel hawezi kushinda hi vita kisha jichimbia kaburi we nenda kaimbe nyimbo kanisani ujifurahishe tu subiria uone anavyo malizwa Israel
 
😁😁 Isije kua Israel kesha fanya ujasusi wake akishirikiana na marekani na kugundua IRAN ni nguvu za sodaa

Kweli SADDAM alitia huruma maana hata walinzi wake walimkimbia na pia kusalitiwaa

At least alinyongwa Ila mpaka mwisho Ali usimamia ukweli na alicho kiamini.

Sasa yetu macho ngoja tuone mpaka mwisho maana inasemwa kua IRAN WANA SILAHA ZA MAANGAMIZI YAANI WAKIFYATUA KOMBOLA MOJA DUNIA INA ACHA KUJIZUNGUSHA KWENYE MUHIMILI WAKEE 🤣
Hahaaa.

Mimi siamini kama Iran ina silaha za maangamizi.

Hao makobazi huwa wana mikwara mingi sana.

Wanachoweza ni ughaidi tu.
 
Wale ni watoto wa nyoka!
Nyoka akishatotolewa huwa haendi kozi ama semina ya kuuma.

Kuzaliwa hadi kufa ni kuuma tu na asipopata wa kuuma, huanza kugonga hata miti ovyo ovyo kupunguza sumu, ndiyo hao sasa!

Lakini tukirudi nyuma, wanaeza enda kushambulia bila kuchokozwa?

Sijawahi kusikia wakifanya hivyo hata siku 1!

Wao huwa mpaka uwaanze.
😁 Nimecheka Sanaa eti Nyoka haendi semina/ kozi elekezi kujifunza kuuma🤣🤣
 
How can a world war be ended in one day? We uko sawa akilini kwako. Mlituambia siku za nyuma Israel kavunja viwanda vya kutengeneza Missiles itachukua miaka labda 20 au sio nyie.

Leo mnatuletea story Ayatollah alikuwa target. Chief of staff sijui nani sijui nani bila dalili mnakuja imba ukanisa hapa hahaha. Iran dogo ni level Ingine ndio sababu US anajidai hayupo kwenye vita wakati yupo ndani ya vita, anajua kinacho kuja sio kizuri hapo Middle East Israel hawezi kushinda hi vita kisha jichimbia kaburi we nenda kaimbe nyimbo kanisani ujifurahishe tu subiria uone anavyo malizwa Israel
Vipi imekuwaje ndege za Israel zimeingia Iran kufanya mashambulizi na kusepa salama salmini?
 
Hahaaa.

Mimi siamini kama Iran ina silaha za maangamizi.

Hao makobazi huwa wana mikwara mingi sana.

Wanachoweza ni ughaidi tu.
Wanavizia watu kwenye mikusanyiko na kulipua bomu ama kujilupua Ila for years Arabs, waajemi e.t.c wengi hawanaga akili kubwa za kuweza kushindana na muisraeli na marekani.
 
Ujinga ni pale mnapodhani kila anayeipinga Israel ni Mwislam na kwahiyo kuonesha kumbe badla ya kuongozwa na akili wengi wenu mnaongozwa na mihemuko ya kidini! Ni aibu kwa kweli. Binafsi mimi ni Mkristo, tena mseminari lakini always nampinga Israel kwa sababu ni muuaji na hana undugu wowote na Ukristo! Na kama linapokuja suala la kukashifu Ukristo ni bora hata wavaa makobaz kuliko hawa madhalimu mnaowatetea in the name of Christianity!!
Kobaz, na hapo umevaa kipedo na ndevu zako. Chooooka mbaya
 
Back
Top Bottom