Mi naona wewe umekaa kishabiki zaidi! Kwani Marekani alitoka umbali gani kwenda kuoigana Iraq? Vietnam? Au kwenda Libya? Issue inakuja unaenda kuanzisha vita kwa resorn gani? Netanyahu ndiye mvuriga amani wa Middle East! Kundi la Netanyahu limeanza kutajwa tangia 1948 katika kundi la kigaidi la Lehi lililomuua mwakilishi wa UN ambaye alitumwa kusuruhisha mgogoro wa Israel na Palestina, na huko ndipo wakaanzisha kabisa chama cha Siasa cha Likud mpaka leo ndicho kinaongoza serikali cha Netanyahu.
Netanyahu alitajwa tena kuhusika kifo cha aliekuwa Waziri Mkuu wa Israel Yitzhak Rabin akiwa madarakani Nov 4, 1995 kisa tu aliongozo mazungumzo ya kumaliza vita ya Palestina kitu ambacho kina Netanyahu hawakutaka.
Huyu Netanyahu ana shida kubwa kichwani mwake.