Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Wanao wa Iran wale majews ndio wamewatumia lakini chief of staff yupo hai walio muuwa ni Hussein Salami wa IRGC pia wanadai wamemuwa chief of staff Iran imekanusha hayo kwa hio sio kila walisemalo Israel ni kweli.
Wameaua wanasayansi wakubwa wa nuclear wawili na general mmoja mkubwa kijeshi.. ukiacha Salami...

Israel inasema inafahamu Iran itajibu kwa drones na missiles hivyo Netanyahu anasema Israel itajibu as long as it takes. yaani itakuwa piga nikupige.
 
Leta uthibitisho wa kueleweka kuwa alimuua PM.

Mm naunga mkono magaidi kupewa dozi mmoja mmoja 🔥 hatutaki amani tunataka kuona magaidi wakipewa dozi tuuu
Nini maana ya gaidi?
 
Wameua Mkuu wa Majeshi na maofisa wengine wa ngazi za Juu wa kijeshi

Wameua wanasayansi Wakuu wa nyuklia

Wameteketeza miundombinu ya nyuklia na vifaa vya Kijeshi.

Swali.
Hivi Iran wao hawana ndege vita wakapige Israel kama wanavyotandikwa mara Kwa mara?

Ni umaskini wa kufa mtu eti kutegemea vijikombora kama vya Hamas ,Sasa Hawa watawezaje zaidi ya kukubali kuwa wachumba?

Wataishia kuimba takbir sijui vitu gani kama wale wa no reforms yet uchaguzi unaendelea hakuna Cha maana yaani 😂😂

Iran uwezo bado upo chini. Ni vile inajitahidi kujitutumua.

Ni kama MTU aamini Chadema kwa wakati huu itaishinda CCM.
Ndivyo watu wanaoamini Iran itaiweza Israel ambayo nyuma yake inakila sapoti
 
Mkuu Israeli inafanya uonevu huko Mashariki ya kati

Lakini maelezo yako ni kujitia matumaini.
Kama chadema kwa CCM tuu.

Iran hana uwezo wa kumfanya chochote Israel. Hata waarabu wote waungane hawana huo uwezo.

Na waarabu wanalijua hilo. Sasa inashangaza wewe hujui.
Ndugu yangu
Irani ya sasa sio ya mwaka 47 hii inakwenda kuwa vita kubwa na yenye hasara kubwa sana ndani ya mashariki ya kati......

Iran nyuma yake kuna China, Russia na nchi wengine washirika....... hawawezi kukaa na kuangalia Iran ikiangamia......

Nyuma ya Israel wote tunajua kuna nani na imebeba maslahi ya nani......hili jambo linakwenda kuleta athari mbaya mbaya sana.......

Kwa nchi ya Iran kwa jinsi ambavyo amekuwa akipambana na vikwazo miongo ya miaka hana cha kupoteza analazimika kupigana kwa nguvu zake zote na kwa silaha zake.......

Iran lazima atakuwa anejiandaa kwa haya yanayoendelea kwani anamjua adui yake anayemuwinda......

Israel kwa upande wake asingeweza kukaa na kutulia huku adui yake anayetishia uwepo wake akistawisha bomu kubwa la nyuklia.......

Hii vita ilikuwa lazima itokee ili kuwe na muafaka lakini inakwenda kuwa vita kubwa sana
 
Netanyahu anatembeza kichapo kila kona ya Mashariki ya kati.

Kule Wahouthi, huku Gaza, kule Hizbollah, Iran naye keshaingia kwenye 18 zake.

Wanatia huruma.

On the real though, huu ni uchokozi. Hakukuwa na haja ya kuishambulia Iran.

Tangu naskia hizi vita, sijawah kusikia kiongozi wa Israel ameuawa na magaidi 😂
Labla mnikumbushe.

Mm sitaki kujua Israel wana haki ya kuipiga Iran au vp, mm nachotaka kuona n Israel wakitoa dozi tuu 😂
 
Wameua Mkuu wa Majeshi na maofisa wengine wa ngazi za Juu wa kijeshi

Wameua wanasayansi Wakuu wa nyuklia

Wameteketeza miundombinu ya nyuklia na vifaa vya Kijeshi.

Swali.
Hivi Iran wao hawana ndege vita wakapige Israel kama wanavyotandikwa mara Kwa mara?

Ni umaskini wa kufa mtu eti kutegemea vijikombora kama vya Hamas ,Sasa Hawa watawezaje zaidi ya kukubali kuwa wachumba?

Wataishia kuimba takbir sijui vitu gani kama wale wa no reforms yet uchaguzi unaendelea hakuna Cha maana yaani 😂😂
Mkuu Iran inaugonjwa kama wa CCM nchi inapotea wao kazi yao kumsifia kiongozi mkuu wa nchi, nakuonea watu wa ndani, ndio maana Adui wa nje kama israel anajipigia.

Hizi unajua mtu kutoka KM 3000 kwenda na ndege kuua viongozi wa Jeshi ndani kwako maana yake anataarifa za kina kuliko hata ulizonazo
 
Ndugu yangu
Irani ya sasa sio ya mwaka 47 hii inakwenda kuwa vita kubwa na yenye hasara kubwa sana ndani ya mashariki ya kati......

Iran nyuma yake kuna China, Russia na nchi wengine washirika....... hawawezi kukaa na kuangalia Iran ikiangamia......

Nyuma ya Israel wote tunajua kuna nani na imebeba maslahi ya nani......hili jambo linakwenda kuleta athari mbaya mbaya sana.......

Kwa nchi ya Iran kwa jinsi ambavyo amekuwa akipambana na vikwazo miongo ya miaka hana cha kupoteza analazimika kupigana kwa nguvu zake zote na kwa silaha zake.......

Iran lazima atakuwa anejiandaa kwa haya yanayoendelea kwani anamjua adui yake anayemuwinda......

Israel kwa upande wake asingeweza kukaa na kutulia huku adui yake anayetishia uwepo wake akistawisha bomu kubwa la nyuklia.......

Hii vita ilikuwa lazima itokee ili kuwe na muafaka lakini inakwenda kuwa vita kubwa sana
Kila siku mnasema hv Ila hatujawahi kuona hy kazi ya hao magaidi kwenda kwa Israel 😂
 
Kipigo kwa Israel hakiepukiki na akipigwa kiherehere kitamuisha na hapo ndipo US atajitokeza live baada ya Israel kuweka mkia kati kati ya miguu...

Tupo hapa..
Tangu hizi vita zianze, unachoongea n lini kiliwah kutokea?
 
Mkuu Israeli inafanya uonevu huko Mashariki ya kati

Lakini maelezo yako ni kujitia matumaini.
Kama chadema kwa CCM tuu.

Iran hana uwezo wa kumfanya chochote Israel. Hata waarabu wote waungane hawana huo uwezo.

Na waarabu wanalijua hilo. Sasa inashangaza wewe hujui.
Tulizana mbona huwa mnapupa sana tulieni tuliwambia US atak8mbia Red Sea mkawa mnamcheka Yemen mwisho US akapiga magoti.

Israel hawezi kuvumilia kipigo kinacho kuja time itaongea hata USA atachapwa tu sababu yupo kwenye game Iran kisha hakikisha hayo
 
Israel hawezi kufanya jambo bila kupiga hesabu. Wakati mashambulizi yanaanza Iran wanajiandaa kujitangaza kumiliki silaha ya nuclear
. Netanyahu hakuwa na namna, inaonekana IDF na US wanajua Iran haitaweza kujibu kiasi cha kuwatisha. Sasa kumekucha.
 
Ndugu yangu
Irani ya sasa sio ya mwaka 47 hii inakwenda kuwa vita kubwa na yenye hasara kubwa sana ndani ya mashariki ya kati......

Iran nyuma yake kuna China, Russia na nchi wengine washirika....... hawawezi kukaa na kuangalia Iran ikiangamia......

Nyuma ya Israel wote tunajua kuna nani na imebeba maslahi ya nani......hili jambo linakwenda kuleta athari mbaya mbaya sana.......

Kwa nchi ya Iran kwa jinsi ambavyo amekuwa akipambana na vikwazo miongo ya miaka hana cha kupoteza analazimika kupigana kwa nguvu zake zote na kwa silaha zake.......

Iran lazima atakuwa anejiandaa kwa haya yanayoendelea kwani anamjua adui yake anayemuwinda......

Israel kwa upande wake asingeweza kukaa na kutulia huku adui yake anayetishia uwepo wake akistawisha bomu kubwa la nyuklia.......

Hii vita ilikuwa lazima itokee ili kuwe na muafaka lakini inakwenda kuwa vita kubwa sana

Iran haina marafiki wa kufa kupona
China sio rafiki wa kutegemewa.
Urusi ni Mzungu, hawezi kuwa upande wa muajemi akaacha Wazungu wenzake.

Iran kama anaingia vitani aingie kwa kujiangalia yeye kama yeye. Lakini kama ni washirika hao uliowataja hawawezi kumsapoti.

Ngoja tuone.
 
Sawa umeona target alizo piga Israel hahaha zote ni civilian area yeye akipigiwa hizo civilian area wataishi wapi watu wake hahaha. Ndege zitoke Tela Aviv zikapige majumba ya watu huo ni ushoga tu. Badala apige military target kaishia piga majumba anadhani Iran warabu wanao kwepa civilian target hebu kaeni mkao wa kula msubiri kipigo.

Pamoja na hayo, bado mtakuja kulialia Israel wameua watoto na wanawake 😂
 
Tulizana mbona huwa mnapupa sana tulieni tuliwambia US atak8mbia Red Sea mkawa mnamcheka Yemen mwisho US akapiga magoti.

Israel hawezi kuvumilia kipigo kinacho kuja time itaongea hata USA atachapwa tu sababu yupo kwenye game Iran kisha hakikisha hayo

Ngoja tuone!
Ila nakumbusha tuu vita haina macho na haina Sheria. Hizo Sheria mnazoziita Sheria ni geresha tuu.

Hivyo baadaye hatutali malalamiko
 
Nimeamini USA ni kama malaya wa Israel, kila itakachoambiwa inafanya hasa akiwepo raisi ms3nge asie na akili kama Trump...

Yaani kaIsrael kanampelekesha US kama mtoto mchepuko/malaya/changudoa...

Hii vita anayeingia gharama za kifedha ni US, US stop being Israel's whore...
 
Back
Top Bottom