Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Yes ngoja tuone lakini kwa vyovyote hii ni vita itakayoamua nani abaki kwenye ramani dunia kati ya Israel na Iran........

Ni kweli.
China hanufaiki Sana kwa Iran ukilinganisha na USA.
Urusi ni mzungu. Vita vyake vingi na USA ni kama Vita vya Kupanga. Na sio vita Serious.

Hata Iran ikiingia vita na Israel bado wanufaika ni walewale Wazungu ambao ni USA na Urusi.
Kivyovyote vita haitamsaidia vyovyote Iran.
 
Dah!
Salami wamemuua mzee, hivi Israel wanajiamini nini haswa na wamejipanga kiasi gani kupokea majibu licha ya kufahamu fika wanasaidiwa na US?
Na hapo Israel hayupo kwenye mood ya vita 😂
 
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Wazee wa kujifariji buana 🤩🤩
 
Ni kweli.
China hanufaiki Sana kwa Iran ukilinganisha na USA.
Urusi ni mzungu. Vita vyake vingi na USA ni kama Vita vya Kupanga. Na sio vita Serious.

Hata Iran ikiingia vita na Israel bado wanufaika ni walewale Wazungu ambao ni USA na Urusi.
Kivyovyote vita haitamsaidia vyovyote Iran.
Hakika
China hataki kufanya makosa ya kurudi alikotoka akamuacha USA atambe.......bahati mbaya uchumi wa fragile hivyo lazima apige hesabu zake vyema za kimaslahi......

China uchumi wake asilimia kubwa unategemea uwekezaji wa mataifa ya ulaya na Marekani katika uhusiano wa kibiashara na uwekezaji ukilinganisha na mashariki ya kati ambayo hayo mataifa ya ulaya mengi ni marafiki wa Israel........


Mimi imani yangu kubwa ipo kwa Iran na naamini hatakuwa mnyonge mbele ya myahudi kwani anaamini unyonge mbele ya adui yake mkuu aliyemtangazia vita ni mbaya
 
Let wait and see but Israel amepiga Iran at very high precision.

Iran ni nchi ya Kiimla ambayo viongozi hukaa madarakani miaka mingi, sasa ukitokea umewaua ghafla unatengeneza ombwe la uongozi na maamuzi..
Ni sahihi na HIKI ndicho walichokifanya na hii ni awamu ya kwanza. Naamini awamu ya pili wanaweza kumalizia wote akiwemo na yule Babu kiongozi wao. Ayatollah kafikishiwa salamu KWA msaidizi wake wa karibu kufumuliwa na kujeruhiwa vibaya.

Naangalia tweet ya Jeshi la Iran inasema, wamemaliza zamu yao wasubiri zamu yetu.

Wasipojibu mojakwamoja hii itabaki story. Lengo la Israel ilikuwa ni kuvunja kabisa UTI wa magongo wa uwezo wa Iran kutengeneza Silaha ya Nyuklia KITU ambacho inaonekana kama wasingefanya hivi Iran Wenda ingekuwa na uwezo huo siku chache zijazo.

Tusubiri tuone zile stori eti Miradi ya Nuclear iko chini underground pasipofikiwa na mabomu.
 
Tulizana mbona huwa mnapupa sana tulieni tuliwambia US atak8mbia Red Sea mkawa mnamcheka Yemen mwisho US akapiga magoti.

Israel hawezi kuvumilia kipigo kinacho kuja time itaongea hata USA atachapwa tu sababu yupo kwenye game Iran kisha hakikisha hayo
Kwamba Israel hajui kuwa Iran nae atashambulia?
Magaidi wa kitanzania mna kazi sana kujifariji 😂
 
Back
Top Bottom