Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hebu waone hao Wairan….
Subiri nitakutag mkuuIran haiwezi kuifanya kitu Israel labda ni tamaa tu za kufikirika.
Kila mara mnasema hv, ila ndo kwanza Netanyahu anazidi kugawa dozi kama karanga 😂Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Hakuna Mkristo anayejitambua na mwenye uelewa anayeweza kujinasabisha na Israel taifa la Wayahudi wanaoamini Yesu Kristo yupo motoni anaungua! Ni Wakristo wa Ileje msiofahamu yanayoendelea duniani ndio mna shobo na Israel!Hakuna mkristo mwenye akili dhaifu ya kuichukia Israel...Ukiona Una chuki yenye afya dhidi ya Israel wahi msikitini ukaslimu,,,uko mahali pasipo sahihi....
Watanzania tumefurahi 😂
Muda utazungumza..Lini iliwahi kuchapika tukakimbia JF?
Hili sikutegemea kutokeaHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
We tulizana dogo kipigo kinaelekea Tela Aviv bada ya saa tena Iran watapiga pia majumba safari hi pia sababu Israel kapiga majumba kule Iran.
Wanao wa Iran wale majews ndio wamewatumia lakini chief of staff yupo hai walio muuwa ni Hussein Salami wa IRGC pia wanadai wamemuwa chief of staff Iran imekanusha hayo kwa hio sio kila walisemalo Israel ni kweli.Hii v
Israel kwenye haya mashambulizi inalenga wanasayansi wa nuclear wa Iran , viongozi wakubwa kijeshi, air defenses, missiles sites na wanafanya covert sabotage operations...
Nadhani wametuma agents kufanya matukio ndani ya Iran.
TV zenu za kigaidi zimethibitisha hayo, Afu ww gaidi mmoja wa Mbalizi - Mbeya unapinga 😂Nimecheka wao ndio wamekianzisha afu wana wasi wasi kweli na kipigo cha Iran. Wanajidai eti wamewauwa viongozi wa Iran wengi kweli hivi unamimini hayo hahaha
Kwaiyo aliua Waziri Mkuu wake lengo kutoa dozi?Namuunga mkono Netanyahu, Hakuna mazungumzo ya amani, ni mwendo wa kutoa dozi tuu 🔥
Kwani nini maana gaidi?TV zenu za kigaidi zimethibitisha hayo, Afu ww gaidi mmoja wa Mbalizi - Mbeya unapinga 😂
Dah kwenye Wabongo vichwa maji 😂
Wabongo n vichwa maji mkuu, ile ya Russia na Ukraine wakasema WW3 itatokea Ila Mpaka sasa kimya, naona wamebadili story 😂Hakuna ww3
Wameua Mkuu wa Majeshi na maofisa wengine wa ngazi za Juu wa kijeshiIsrael yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran
Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran
===========
The Israeli air force has carried out a strike on Iran, according to US news site Axios, which cited two sources with knowledge of the operation.
Explosions were heard northeast of the capital Tehran early on Friday, reported Iran's state-run Nour News.
Israel's defence minister has announced a "special situation" in his country and said schools would stay shut on Friday.
Sky's Middle East correspondent Alistair Bunkall said people in Israel were woken in the early hours by air raid sirens and a phone alert warning there could be "severe retaliation".
He said it appears so far that Israel is acting alone.
Chanzo: Sky News
Leta uthibitisho wa kueleweka kuwa alimuua PM.Kwaiyo aliua Waziri Mkuu wake lengo kutoa dozi?
Netanyahu anatembeza kichapo kila kona ya Mashariki ya kati.Kila mara mnasema hv, ila ndo kwanza Netanyahu anazidi kugawa dozi kama karanga 😂