Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Ujinga ni pale mnapodhani kila anayeipinga Israel ni Mwislam na kwahiyo kuonesha kumbe badla ya kuongozwa na akili wengi wenu mnaongozwa na mihemuko ya kidini! Ni aibu kwa kweli. Binafsi mimi ni Mkristo, tena mseminari lakini always nampinga Israel kwa sababu ni muuaji na hana undugu wowote na Ukristo! Na kama linapokuja suala la kukashifu Ukristo ni bora hata wavaa makobaz kuliko hawa madhalimu mnaowatetea in the name of Christianity!!
Hakuna mkristo mwenye akili dhaifu ya kuichukia Israel...Ukiona Una chuki yenye afya dhidi ya Israel wahi msikitini ukaslimu,,,uko mahali pasipo sahihi....
 
Kuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
Magaidi Nyie hamna Akili, mlishawahi kutoa kipigo gani kwa Israel zaidi ya kulialia wanaua watoto na wanawake 😂
 
Endelea kuamini Myahudi ni ndugu yako ewe Mkristo usiyejitambua🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Kobaz, na hapo umevaa kipedo na ndevu zako. Chooooka mbaya. Watu hatuangalii race tunaangalia akili. Sawa mwarabu koko usiyejielewa? Ukivaa kipedo, kobazi na kufuga ndevu unajiona mwaraaaaaaab umekaa hapo tandale kwa tumbo.
 
Kobaz, na hapo umevaa kipedo na ndevu zako. Chooooka mbaya. Watu hatuangalii race tunaangalia akili. Sawa mwarabu koko usiyejielewa? Ukivaa kipedo, kobazi na kufuga ndevu unajiona mwaraaaaaaab umekaa hapo tandale kwa tumbo.
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Waislamu bhana 😂

Yn Israel ndo wanatoa kipigo afu unakuja ety kuwaonea huruma ety wananchi wao wana wakati mgumu 😂

Nyie subir muanze kilio cha Israel wanaua watoto na wanawake, mana ndo kilio chenu, mana Israel akishambuliwa hawajawahi kusema mnaua watoto na wanawake wao 😂
 
Baada ya saa wa Israel wasubiri mvua.

Inasemekana wako wa Iran ambao ni wafanyakazi wa Mossad wamehusika kuwauwa hao viongozi wa Iran. Si ndege kama wanavyo dai
 
Back
Top Bottom