Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Hao ******* wa iran waache uchokozi
😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 😀Hii ipo wazi anayefanya haya ni US, hata huko juu nimesema..
Lakini ni ukweli kwamba US inahofia majibu ya Iran.. Israel haina teknolojia sasa ya kuzuia mashambulizi ya mabalistiki ya Iran..
Israel ina historia hiyo ya kuomba poo au cease fire? Nitajie mwaka huo waliowahi kuomba pooHaya kuanzisha vita si hoja kuimaliza vita msije omba peace badaye huko UN. Kule Israel wameanzisha wao na wako na wasi wasi.
Mkuu.Ikiwa Iran ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya harakati, mbona Marekani , Ufaransa, UK na Ujerumani zinamfadhili Israel? Kuna tofauti gani hapo!
Wale wapuuzi wanaosemaga kutatokea WW3 wasahau Hilo.
Hakuna nchi Tajiri yoyote itajiingiza kwenye vita vya moja kwa moja na nchi tajiri mwenzake mana wanajua kuanza kujijenga upya kiuchumi baada ya hapo ni mtihani mkubwa mno.
Yaani hutokaa uone vita vya moja kwa moja kati ya US, China, UK, Russia, France, Germany na wengineo baadhi.
JMK convention center,kule Dodoma, Israel ingetusaidia sana siku Kuna Mkutano mkuu wa CCM!🥰Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran
Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran
===========
The Israeli air force has carried out a strike on Iran, according to US news site Axios, which cited two sources with knowledge of the operation.
Explosions were heard northeast of the capital Tehran early on Friday, reported Iran's state-run Nour News.
Israel's defence minister has announced a "special situation" in his country and said schools would stay shut on Friday.
Sky's Middle East correspondent Alistair Bunkall said people in Israel were woken in the early hours by air raid sirens and a phone alert warning there could be "severe retaliation".
He said it appears so far that Israel is acting alone.
Chanzo: Sky News
Vp mkuu, nani tena ameuawa huko Iran em tupe info huku ukiendelea kujifariji 😂Nyie wakanisa hebu tulieni leo inakuja dawa itawaingia vizuri taifa lenu la kishoga litajuta kugusa Iran.
US ndio kapiga Israel ni simba kwenye picture tu lakini mpaa mda hu sidhani wamepiga kwenye Nuclear facilities. Tusubiri majibu ya Iran
Hivi Tanzania na sisi tuna air defenses?Naangalia Al Jazeera news wanasema air defense ya Iran nayo imebatizwa
Hizo ni za ndaaaaani moja kwa moja toka TEHRAN unaporipoti Adiosamigo .Baada ya saa wa Israel wasubiri mvua.
Inasemekana wako wa Iran ambao ni wafanyakazi wa Mossad wamehusika kuwauwa hao viongozi wa Iran. Si ndege kama wanavyo dai
Tulia mtengenezwe mazwazwa nyie .Nyie wakanisa hebu tulieni leo inakuja dawa itawaingia vizuri taifa lenu la kishoga litajuta kugusa Iran.
Tunazo za mrusi za zamaniiii, nyingi Short range SAM.Hivi Tanzania na sisi tuna air defenses?
View: https://x.com/MOSSADil/status/1933364041617191226
Swali langu walijuaje wamelala chumba gani😂😂😂
Ndio. Inasimamiwa na mashehe wale waliosema na kumuombea Mama Abdul kuwa air defenses zimlinde mama Wannu.Hivi Tanzania na sisi tuna air defenses?
mafuta yatapanda bei duniani kote tena kwa upumbavu wa mzayuni mmoja tu mshenzi yule babaake angemwaga nje tu