Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Trump kashindwa kuongoza USA kwa kuweka Tax za ajabu ajabu sasa anashawishi Dunia iingie kwenye vita kichwa kibovu sana kile aisee wamekipa Nchi USA wana matatizo sana..
 
Uwanja umeachwa wazi wa nadharia za uwezo wa Iran kuonyeshwa. Sipendi vita ila hii ni fursa waliopewa Iran kufanya chochote wanachoweza na wanachojisikia KWA Israel.

Ikishindwa au ikirusha makombora yakadunguliwa basi itabidi iungane na Hesbullah na Hamas kwenye kufeli kwake.

Netanyahu nimemuogopa KWA risk kubwakubwa anazochukua
Sasa Netanyahu ndo simba la masimba 🔥
 
Trump kashindwa kuongoza USA kwa kuweka Tax za ajabu ajabu sasa anashawishi Dunia iingie kwenye vita kichwa kibovu sana kile aisee wamekipa Nchi USA wana matatizo sana..
Kwan ndo mara ya kwanza US kutoa sapoti kwa Israel? Kwan ndo mara ya kwanza Israel kutoa dozi kwa Iran.

Magaidi tulieni mle dozi 🔥
 
Kwan ndo mara ya kwanza US kutoa sapoti kwa Israel? Kwan ndo mara ya kwanza Israel kutoa dozi kwa Iran.

Magaidi tulieni mle dozi 🔥
Mkuu kwa Wafanyabiashara za Nje vita zinaathiri sana hata dollar pia na usalama wa kusafiri ila kama upo zako una report kwa afisa mwajiri utashangilia vita ila baadae utakuja kutuuliza nimepewa 80m mafao nifanye biashara gani...
 
Trump kashindwa kuongoza USA kwa kuweka Tax za ajabu ajabu sasa anashawishi Dunia iingie kwenye vita kichwa kibovu sana kile aisee wamekipa Nchi USA wana matatizo sana..
Yrump ni raisi wa hovyo sana, kipindi kilihopita alisababisha Iran ikapiga kambi za kijeshi za US ale Iraq...
Ndio maana walinkosa kumuua huyu mshenzi, kuna wenye akili wanaelewa Trump ni mjina na mpumbavu...
Nimemsikiliza Netanyahu na yeye ndio wale wale...

Iran sio nchi ya kwanza duniani kuwa na nuclear, hata Pakistan wana nuclear, India wanayo...
 
Simba la masimba Netanyahu 🔥

download.jpeg


Mitano tena babu yetu 😂
 
Hii ipo wazi anayefanya haya ni US, hata huko juu nimesema..
Lakini ni ukweli kwamba US inahofia majibu ya Iran.. Israel haina teknolojia sasa ya kuzuia mashambulizi ya mabalistiki ya Iran..
Ww jamaa n kama vile umechanganyikiwa 😂
 
Back
Top Bottom