Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Ni mapema mno, bado hawajasema. Watuliazane kwanza ndio waje waseme vizuri.Iran wanasema USA na Israel wameshirikiana kupiga majumba ya raia pale Tehran na badhi ya sehemu. Wasubiri majibu yetu.
Pia Iran imesema hakuna military area walizo piga ni uwongo tu walicho piga ni Nuclear station moja tena wamerudia tena kuipiga sababu hakuna walicho fanikisha kwenye target ya mwanzo na wamejaribu kupiga launcher za Missiles kule magharibi ya Iran.