Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Na shule zimefungwa...
Muda si mrefu tutashuhudia vimondo vikitua Tel Aviv..
😅😅😅 Halafu kuna fal,a atakwambia Iran ni taifa la kawaida tu.

Yaani Israel+ USA +Ulaya wanaiogopa Iran halafu mtu wa Masulumpweta huko anakwambia Iran sio lolote.

Haya Israel ameshatangaza shule kufungwa hata kabla Iran hajatangaza kulipa kisasi ndiyo ujue moto wa Muajemi😅
 
Hii ngoma ilikuwa ya kustukiza kumbuka Iran bado ilikuwa kwenye mudi ya mazungumzo Israel katumia chansi hio ku attack
Sasa mazungumzo ya kuwa chansi ya kushambulia ndo Umeandika nn mkuu 😂

Kwahy Iran alikuwa amejiandaa kushambulia Ila sio kujilinda 😂

Kuwatetea Magaidi inabidi ujitoe Akili kama machawa wa ccm wanavyofanya.
 
Israeli banah! Yaani hapo kajipanga kwa muda mrefu ni vitisho vingi sana kwa shambulizi hilo🤣🤣
 
Israel imesema hii ni oparetion ya wiki mbili ila hii ni vita kamili

Na haya yote lazima marekani kahusika kwa asilimia 100
Trump alikuwa anafanya maigizo makusudi kwamba anaionya Israel isifanye mashambulii, hii ilikuwa inaifanya Iran isichukue hatua za kiulinzi/kuzubaisha kwa kudhani hakuna kitakachotokea... halafu wakawashambulia ghafla, sidhani hata kama anga la Iran lilikuwa limefungwa..

Kumbe US na ISrael lao ni moja...
 
Duh yan bado wanashambulia tu.

Air defenses za Iran vipi leo🤦‍♂️

JUST IN 🔴🔴

A massive explosion has occurred at a refinery in Tabriz, northwest Iran.
 
Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Idea ya kuwa kuna mahali pengine pazuri kuishi tofauti na hii dunia mahali ambapo hakuna njaa wala kufa wqkimaanisha mbinguni ilianzia israel

Pia idea kuwa kuna king wao ambaye yupo huko (Yesu ) ilianzia kwao

Wao kipindi cha nyuma hawakuwahi kushinda vita


Wao walilazimika kuikimbia israel wakaenda misri kutafuta maisha huko, huko nako wakaishia kugeuzwa vibarua


Kimsingi israel wana INFERIORITY COMPLEX ya kurithi vizazi na vizazi


Hizo tambo zote ni kutaka kujionyesha wanaweza


Sasa subiri uone watakavyopigwa
 
Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Dunia ni uwanja wa fujo.Amani ikishatoweka kwenye nchi mambo ndio huwa kama hivyo kila mara ni kudundana tu.inawezekana wana sababu zakupigana vita mara kwa mara ila ukitazama vizuri utagundua chimbuko la hizo vita ni uko nyuma walipochezea amani yao kwahiyo sasa hivi kitu kidogo wao wanawaza kuua badala yakuzungumza kutafuta suluhu kwa njia ya amani. uku wananchi wao wakitanga tanga kwenye nchi za watu.
 
😅😅😅 Halafu kuna fal,a atakwambia Iran ni taifa la kawaida tu.

Yaani Israel+ USA +Ulaya wanaiogopa Iran halafu mtu wa Masulumpweta huko anakwambia Iran sio lolote.

Haya Israel ameshatangaza shule kufungwa hata kabla Iran hajatangaza kulipa kisasi ndiyo ujue moto wa Muajemi😅
Nasikia wanataka kuremsha makombora 2000...
 
Hii ngoma ilikuwa ya kustukiza kumbuka Iran bado ilikuwa kwenye mudi ya mazungumzo Israel katumia chansi hio ku attack
Tangu juzi Trump alisema Israel inapanga kuishambulia Iran.

Nadhan taarifa ya Jana ya waangalizi wa nuclear IAEA iliwashtua Israel wakaona wakiwashe.
 
BREAKING 🔴🔴🔴

Iran’s top nuclear chief has admitted that the Natanz facility—one of the regime’s most vital nuclear sites—has been COMPLETELY destroyed.
Taratibu wataongea tu.....
 
Trump kisha anza tunasubiri kuona Iran atajibu vipi, afu kasema tutawasaidoa Israel hahaha mpiganaji anajitokeza taratibu. Si kaa pembeni kama hujahusika lakini wao USA wamehusika Israel ni simba kwenye picture tu.
 
Israel imesema hii ni oparetion ya wiki mbili ila hii ni vita kamili

Na haya yote lazima marekani kahusika kwa asilimia 100
Iran bila hivyo vinu inakuwa kama Iraq na Syria wanaanza kumtia madole...

Tena Israel wanakuwaga makini sana ukishaondoa command kwenye Jeshi wananchi wataanza kuandamana dhidi ya Serikali, so Ayatollah itabidi achague vita au madaraka yake
 
Yn Iran amepigwa shambulizi la kushtukiza 😂 nae Israel akipigwa tutakuja kusema ameshtukizwa

Wabongo bhana kwahy leo h Palestine nae akipigwa n ameshtukizwa?

Acheni kujifariji bhana 😂
Ujui mitambo ya ulinzi wa anga inavyo fanya kazi .....kumbuka iran kuna ndege za abiria na vyombo vingi vinaruka angani vya kwao hivyo mitambo ya ulinzi uwekwa kwenye low sensitive na manual attack ambayo inategemea command ya binadamu zaidi ...inapokuwa katika full sensitive ni lazima anga lako lifungwe na mitambo inakuwa kwenye high sensitive and automatic attack.
 
Back
Top Bottom