Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Yrump ni raisi wa hovyo sana, kipindi kilihopita alisababisha Iran ikapiga kambi za kijeshi za US ale Iraq...
Ndio maana walinkosa kumuua huyu mshenzi, kuna wenye akili wanaelewa Trump ni mjina na mpumbavu...
Nimemsikiliza Netanyahu na yeye ndio wale wale...

Iran sio nchi ya kwanza duniani kuwa na nuclear, hata Pakistan wana nuclear, India wanayo...
Ni kweli pakistan na India wanayo nuclear lakini siyo mataifa ya kigaidi hayo..eala hayajawahi kutangaza kuifuta Israel kwenye uso wa dunia....
 
Israel wameanza kuomba watu watoe damu wamechanganyikiwa habari inaonyesha sio nzuri. Mara ya pili itabidi wa mwambie USA ukipigana wewe usituweke sisi simba kwenye picture
 
Ili kudhibiti mtandao wa magaidi Mashariki ya Kati ni muhimu kumpiga pini sponsa wao.
Dunia bila ugaidi inawezekana
Mtandao wa magaidi uliofanikiwa kuifuta Isis na Al Qaeda? Ninachiofahamu mimi sehemu akitia mguu Muiran ujue Isis imasambaritika na kupigika,
 
Israel wameanza kuomba watu watoe damu wamechanganyikiwa habari inaonyesha sio nzuri. Mara ya pili itabidi wa mwambie USA ukipigana wewe usituweke sisi simba kwenye picture
Israel mtu akitekwa wanakusanya nchi nzima kumtafuta, usilinganishe na sisi mtu akitweka ukiulizia unafungwa
 
Mkuu kwa Wafanyabiashara za Nje vita zinaathiri sana hata dollar pia na usalama wa kusafiri ila kama upo zako una report kwa afisa mwajiri utashangilia vita ila baadae utakuja kutuuliza nimepewa 80m mafao nifanye biashara gani...
Ww jamaa bhana 😂
Kwan hizi vita zimeanza lini?
 
Back
Top Bottom