Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Na mimi nasema Wapigwe tu
Hakika
China hataki kufanya makosa ya kurudi alikotoka akamuacha USA atambe.......bahati mbaya uchumi wa fragile hivyo lazima apige hesabu zake vyema za kimaslahi......
China uchumi wake asilimia kubwa unategemea uwekezaji wa mataifa ya ulaya na Marekani katika uhusiano wa kibiashara na uwekezaji ukilinganisha na mashariki ya kati ambayo hayo mataifa ya ulaya mengi ni marafiki wa Israel........
Mimi imani yangu kubwa ipo kwa Iran na naamini hatakuwa mnyonge mbele ya myahudi kwani anaamini unyonge mbele ya adui yake mkuu aliyemtangazia vita ni mbaya
Toa taarifa alipo kwa magaidi wenzako ili wamfate kumshambulia kama unaona n rahisiNyau kisha enda jificha hahahaha
Na watapigwa tuu 🔥Na mimi nasema Wapigwe tu
Ila ww jamaa ni kama vile n mwendawazimu.Ali Shamakhan naye kaumia vibaya sana huyu ni member of the expediency discernment council of Iran
education:
Watanzania tumefurahi 😂Mropokaji namba moja ashaliwa kichwa
Breaking:Iran state TV confirms killing of IRGC chief Hossein Salami in Israeli strike
Iran’s state television confirmed on Friday the killing of the chief commander of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) Hossein Salami in an Israeli strike.
State TV also confirmed the deaths of Gholamali Rashid, a senior IRGC commander, and at least two nuclear scientists: Fereydoun Abbasi-Davani and Mohammad Mehdi Tehranchi.
The state-linked Tasnim news agency said Salami was killed “in the Israeli regime’s attack on the IRGC headquarters.”
Israel said early on Friday it had struck Iranian nuclear targets to block Tehran from developing atomic weapons, and Iranian media and witnesses reported explosions including at the country’s main uranium enrichment facility.
Calling the offensive “Rising Lion,” Israel said it was also targeting Iranian commanders and missile factories, and declared a state of emergency in anticipation of retaliatory missile and drone strikes by Tehran.
“We are at a decisive moment in Israel’s history,” Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a recorded video message.
Israel targeted Iranian scientists working on a nuclear bomb, its ballistic missile program and its Natanz uranium enrichment facility, in an operation that would continue for days, he said.
A witness in Natanz city said multiple explosions were heard near the facility, and a senior Iranian official told Reuters that the country’s leadership was holding a top security meeting.
Iran’s state TV said several explosions were heard in Tehran and the country’s air defense system was on full alert.
An Israeli military official said Israel was striking “dozens” of nuclear and military targets. The official said Iran had enough material to make 15 nuclear bombs within days.
“Following the preemptive strike by the State of Israel against Iran, a missile and UAV (drone) attack against the State of Israel and its civilian population is expected in the immediate timeframe,” Defense Minister Israel Katz said in a statement.
US Secretary of State Marco Rubio said Israel acted unilaterally because it believes the operation was necessary for self-defense.
“Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region,” Rubio said in a statement.
Vita Iraq ilisemwa hivyo. Vita ya Afghanistan ikasemwa hivyo. Nchi zote mbili leo hii hakuna kilichobadilika.Hii vita mwisho wake ndio utaleta ustawi wa kudumu na muelekeo chanya wa mataifa haya shindani......
Hapana! Iran haiwezi kutoweka. Israel haiwezi kutoweka kwasababu inalindwa na Nchi za Mgharibi.Hii vita inaweza hata kuamua uwepo wa mataifa haya mawili kwa jinsi walivyo kamiana.......
Katika ripoti hizo washiriki ni serikali ya Marekani. Unaposema taarifa zinatia shaka ni kwa mujibu wa Israel, siyo fact. Ukweli unatokana na taarifa ya wasimamizi ambao hawatoki Tanzania wala Comoro bali USA, UK, Ufaransa na Ujerumaini kupitia JCPOA.Israel ilikuwa lazima ashambulie sasa kutokana na ripoti zinazotia shaka za UN upande wa usimamizi wa nguvu za kiatomic na muenendo mbovu wa vikao vya Irani na Marekani kwenye kujadili mpango wao wa nyuklia bila kusahau kauli za viongozi wa Iran za hivi karibuni juu ya mipango Yao......
Israel ina Nuklia, unajua hilo!Israel ilikuwa lazima apigane sasa kutokana na mazingira ya sintofahamu yaliyo sasa
Ikiwa Iran ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya harakati, mbona Marekani , Ufaransa, UK na Ujerumani zinamfadhili Israel? Kuna tofauti gani hapo!Israel hangeweza kupata utulivu mashariki ya kati kama sio Amani kabisa mbele ya Iran inayostawi na imara kiuchumi huku kukiwa na sintofahamu za mipango yake ya nyuklia......kwa kuwa inasemekana kuwa Iran ndio mfadhili mkuu wa vikundi vyote vya kiharakati dhidi ya Israel.....
Iran inakabiliwa na tatizo moja, vikwazo vya uchumi vya muda mrefu. Pili, Iran haipigani na Israel, inapigana na USA, UK, Germany, France kwa pamoja ikipata usaidizi kutoka Jordan na Saud Arabia.Iran lazima alijiandaa na hili kwa muda mrefu ngoja tuone......
mchokozi? Mnasahau sana nyie 😂 ,hii ya Leo ndio majibu yake…….Iran launched a standoff attack against Israel around midnight on 13 April. Iran's attack sent around 170 drones, over 30 cruise missiles, and more than 120 ballistic missiles toward Israel and the Israeli-occupied Golan Heights.Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Magaidi tulieni mle dozi 😂Hawa wayahudi watu wa Ovyo sana sasa naaelewa kwanini Adolph Hiltter alitamani wapoteee kwenye uso wa dunia
Huwezi kunielewa mana ww n chawa wa ccmKama upi?
Hio ni baada ya Israel kuwachokoza..mchokozi? Mnasahau sana nyie 😂 ,hii ya Leo ndio majibu yake…….Iran launched a standoff attack against Israel around midnight on 13 April. Iran's attack sent around 170 drones, over 30 cruise missiles, and more than 120 ballistic missiles toward Israel and the Israeli-occupied Golan Heights.
Jibu swali,how hawafai ? Au wewe pia huelewi ulichoandika umekurupuka?Huwezi kunielewa mana ww n chawa wa ccm
Wale wapuuzi wanaosemaga kutatokea WW3 wasahau Hilo.Sahihi!
Kama ajajipanga asijaribu Kujitutumua.
Maana Mabeberu wanatabia mbaya Sana za kishenzi na wanatumia Akili.
Iran inatakiwa icheze kama China. Ijiweke vizuri kisayansi na kiuchumi.
Lakini kujifanya inafurukuta wakati China mwenyewe mwenye uchumi na teknolojia kubwa anajifikiria linapokuja swala la vita na mabeberu. Ajipange
Nimekurupuka Mkuu.Jibu swali,how hawafai ? Au wewe pia huelewi ulichoandika umekurupuka?
Hiyo ni kwa mujibu wako, waliopiga wanajua sababu.Huo sasa ni uchokozi!
Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.