mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Ataziweza mkuuAmeshatangaza na military base zote za Marekani za middle east zimekaa mkao wa tahadhari
Ataziweza mkuuAmeshatangaza na military base zote za Marekani za middle east zimekaa mkao wa tahadhari
Mkuu, tumia bc ht akili za kawaida tuuAmeshatangaza na military base zote za Marekani za middle east zimekaa mkao wa tahadhari
Hii inakwenda kuwa vita mbaya sana kwa Israel..... Iran amejipanga kwa miongo kadhaa kwa hili
Ukitoa Fursa ya kukaa Tel Aviv au Tehran unadhani watu watachagua kwenda wapi?3rd world war is knocking..... Hawa wa Israel wamtoe Netanyahu haraka kwa maandamano la sivyo hawatapenda
Iko wap hy showUzuri show ya iran ina julikana hai itaji propaganda
Yaani watu hawajifunza, 😂. Muwe mnawavumilia... Mtu anasafiri na ndege anakuja kuua majenerali na wakuu wa Taasisi, alafu bado unaamini utapigana naeMkuu, tumia bc ht akili za kawaida tuu
Yn Iran impige USA 😂
Dah kweli mapenzi yamekuweka kuwa kipofu 😂
Kwa hiyo watu wenye akili ni wa Israel peke yao ulimwengu mzima.... wengine hawana akili...??Haya maneno nitakuja kukumbusha. Iran hawako vizuri kiuchumi kama hujui na Israel anapiga kwa hesabu. Unajua kawaua watu gani? Ndo uelewe akili na si ushabiki na mihemko
Walishasema.Wewe ni nani katika nchi ya Iran mpaka useme hivyo?
Kwa hiyo Iran akisema ndio inakuwa hivyo? Mbona hata Israel husema Iran hana uwezo wa kupigana nae?Tatizo si kuanzisha vita kuimaliza hio vita tuone ka a Israel atakuwa na pumzi ndefu yeye na US.
US yupo kwenye hi vita anajidai hahusiki ni muongo sana na Iran alisha sema Israel hana ubavu wakupigana na Iran lazima US atakuwepo kwenye vita.
Ila nimejifunza mikwara ni muhimu sana... Miaka yote Iran anapiga Mikwara watu tunajua ni mtu wa Maana kumbe ni Iraq/Syria yenye vinu vya Nyuklia na vikishaharibiwa vyote hatua inayofuata ni kuchochea civil warMiliman ina fukunyuliwa tu uko haijalishi vinu mme vificha wapi mtafikiwa tu hata chini ya bahari wavaa kobazi waheed
Kuwa na akili ni pamoja na kukubali kuwa hatuwezi kuwa na mawazo na fikra zinazofanana....Mkuu, tumia bc ht akili za kawaida tuu
Yn Iran impige USA 😂
Dah kweli mapenzi yamekuweka kuwa kipofu 😂
Hawa watu humu wanajifariji tuu, Ila moyoni mwao wanauona moto ila bc tuu wanakaza 😂Yaani watu hawajifunza, 😂. Muwe mnawavumilia... Mtu anasafiri na ndege anakuja kuua majenerali na wakuu wa Taasisi, alafu bado unaamini utapigana nae
Kwani kuifuta lazima iwe mwaka mmoja?Mwaka wa 100 huu kauli n hy hy mnaifuta Israel kwenye uso wa dunia 😂 ila nyie ndo mnapigika
Sijajua uwezo wa KIJESHI wa Iran currently lakini naamini italishughulisha jeshi la Marekani na IsraelAtaziweza mkuu
Basi hiki kitabu ni magumashi matupu ndiyo maana hata ushog,a ni ruhusa kupitia kitabu hicho cha mchongo.Hata ww tunaweza kukuweka kwenye Biblia 😂
Hii imeenda 😄Netanyahu lazima aongezwe kwenye Biblia
Sasa mkuu kwahy hadi kwenye hili linahitaji akili gn kubwa kuelewa?Kuwa na akili ni pamoja na kukubali kuwa hatuwezi kuwa na mawazo na fikra zinazofanana....