Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Iran ilizuia ndege zake kuruka ? Kama aikufanya chochote wewe jua kuwa mifumo yao ya ulinzi iliwekwa low level na manual .....usifanye mchezo na mifumo ya ulinzi inapokuwa katika automatic high level attack inapifa hadi decoys zinazo ruka angani ...ndiyo maana mrusi urusha decoys nyingi ukrain.
Sasa mifumo kuwekwa low level Ndo hujajiandaa? Ndo mana nasema ww hufatilii ndo mana unasema hayo, kitu mpaka Trump kaongea afu ww mbongo unajifanya unajua zaidi yake 😂
 
Iran ametangaza "ALL OUT WAR" kwa Israel and Kibaraka Marekani......

Ameziagiza proxy wake wote kushambulia maslahi ya Israel na Marekani popote zinapoonekana....
Ww jamaa bhana, mwisho wa siku utakuwa kichekesho humu 😂
 
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Mwanzo mlisema hawezi kushambulia. Netanyahu kavurugwa huko hacheki.
 
3rd world war is knocking..... Hawa wa Israel wamtoe Netanyahu haraka kwa maandamano la sivyo hawatapenda
 
Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
WAISRAEL hawako na wakati mgumu, ni nchi ya vita tangu iundwe na uchumi wake hauyumbishwi na vita,
  • In 2023, Israel's nominal GDP was significantly higher than Iran's, with $513.6 billion compared to $404.6 billion. Israel also has a higher GDP per capita, which is a measure of average economic output per person.
  • Known for its cutting-edge technology, thriving start-up ecosystem, and unbeatable military strength, Israel is nearly impossible to defeat in war. What makes Israel so secure? The answer lies in its elite intelligence agency – Mossad, feared worldwide for its sharp operations
 
Back
Top Bottom