Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Picha wapi?
 
Niliwaambiaga Kobaaz hapa Trump ana hasira sana na Iran na atadeal nao, maana kuna report zinasema kile kipindi cha uchaguzi Iran walitaka kumuua Trump
Kama walijaribu huo ujinga bas walijichanganya manaake hiki kinachowakuta ni balaa zito.
 
Ni kama Lebanon tu au Yemen.

Yemen walikuwa wanaambiwa tunakuja Airport na kwel wanakwenda.

Hata Iran waliambiwa hii wiki haiishi tunawapiga
Sasa mwenzenu huku wadau wa Iran wamenikimbia simu wamezima. Kuna siku nilibishana nao walikua 9 nlikua peke angu nkawaambia Iran hatoi kidogo wanitembezee makwenzi.
Sasa nataka niwafwate kwao kila mmoja anipe maoni yake kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…