goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,763
Wakati wakuwamaliza wayahudi ulikuwa wa Hitler.
Lakini hakuweza
Kwa sababu bendera ya kale zaidi ya zote ulimwenguni,bendera ya nyota ya daudi,inatakiwa ipepee mpaka watakapomwamini masihi wao.
Biblia inasema shida kubwa itakuwa pale marekani atakapovunja mkataba na israel, na mataifa yatakusanyika kuipiga israel.
HAR MAGEDON