Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Asante babu Netanyahu kwa kazi nzuri, mitano tena babu

download.jpeg
 
Israeli ,Israel , Israel ni next level
Mkuu wa majeshi wa iran kaenda kibrq
Hivi hawa watu wenye mavyeo makubwa huwa wanashindwa kujificha mpaka wwnadunguliwa kirahisi rahisi tu hivi. CDF mzima unalengwa kirahisi hivi tena wakati dalili zote za mashambulizi zilikuwa wazi. Basi hawa Wayahudi na Mossad yao ni hatari sana. Maana mpaka wanakulenga na bomu ni lazima wajue uko wapi. Ni nani ambaye huwa anawapa hizi taarifa sahihi kwamba kwa sasa IDF yuko hapa rusheni bomu? Inashangaza sana aisee....

20250613_114224.png
 
Wanafiki wa michezo mzima hawa apa

🇺🇸\🇮🇱\🇮🇷 Jets have launched from the following countries, now part of the ongoing air activity:

1. Israel 🇮🇱

2. USA 🇺🇸

3. UK 🇬🇧

4. Saudi Arabia 🇸🇦

5. Qatar 🇶🇦

6. Jordan 🇯🇴

A broad coalition is clearly in motion.
Waislamu nao wapo mstari wa mbele kutokomeza ugaidi, safi Sana hii 😂
 
Tulia dogo huyo ni shoga ako US, Israel hana ubavu bila bwanaake nasasa hawaelewi ata vinu muhimu viko wapi wameishia kupiga makazi ya viongozi, yaan Iran fala vinu avianike Kama maembe
Visingizio vitawamaliza Kumbuka mimi niliwaambia mapema kabisa kuwa Iran lazima atapigwa hata hiyo tetesi IAF Walikuwa wanapiga jaramba namna ya kuzipiga Iran.

Turudi kwenye ukweli Israel ni dubwasha Iran hana uwezo wa kupambana nalo ndege zaidi ya 200 anashindwaje kuangusha hata ndege moja?? Mifumo yake ya ulinzi wa anga ilikuwa imelala fofofo?? Nawapa pole sana washabiki wa Gaidi Iran kwa kupigwa na Israel!!
 
Wote hawa Iran inabidi apambane nao

🇫🇷\🇬🇧\🇺🇸 Fighter jets from France, the UK, and the U.S. are reportedly engaged in intercepting Iranian drones over Jordanian airspace.
 
Jordan ni nchi inatawaliwa na Puppet mamayake muingereza atawacha kuwa upande wa wajomba zake. Ndege za Israel zinatumia anga lake anaziwachia huyu Puppet Iran lazima wamshughulikie na yeye. Wapalestine anawazuia mpaa chakula lakini hakubali Israel ashambuliwe.

Jordan kaungusha drones na Missile afu bado anajisifia alivyo kuwa fala. Nasikia France, Italy. USA, UK wote wapo Jordan tokea jana kwa ajili ya kuangusha hizo drones na Missiles

View: https://youtu.be/aivjE9huBpA?si=62rgEGWV7QOwJnQK
 
Wanafiki wa michezo mzima hawa apa

🇺🇸\🇮🇱\🇮🇷 Jets have launched from the following countries, now part of the ongoing air activity:

1. Israel 🇮🇱

2. USA 🇺🇸

3. UK 🇬🇧

4. Saudi Arabia 🇸🇦

5. Qatar 🇶🇦

6. Jordan 🇯🇴

A broad coalition is clearly in motion.
Mtanyooka tu matazunguka na kusingizia kila nchi lakini huwezi kuondoa kupigwa kwa Iran na Israel !!!
 
Back
Top Bottom