Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

🏴‍☠️🇮🇹🇩🇪 | israel: We had informed Germany and Italy about the attack on Iran

🟡 @NEWWORLDORDYR
 
🇮🇷🇮🇱A red flag of revenge has been raised over the Jamkaran Mosque in Iran.

Let us recall that almost a year ago it was already raised after the assassination of the head of the Hamas Politburo, Ismail Haniyeh, in Tehran.
 
Israel wanadai wanakiwanda cha drones pale Tehran ndio kimetumika kupiga hapo Tehran. Je ni kweli au uwongo vipi Iran wasigundue hilo.


View: https://youtu.be/I0S3CGOKN3s?si=07dr0XMHge5fPGKl

Ni kweli walikuwa na kiwanda hapo hapo Tehran na karibu na vituo vyote vya kurushia makombola kuelekea Israel na ndiyo maana mpaka sasa hivi Iran hajajibu lolote zaidi ya Drones 100 ambazo nazo zimepopolewa!!!
 
Kwa ujumla Iran hana ubavu wa kupambana na Israel ndiyo maana kapigwa kama mtoto mdogo!!!

Drones zaidi ya 100 alizotaka kulipiza kisasi zote zimepopolewa hayo mapipa yake hawezi tena kuyatumia maana shambulio hili lilipangwa likapangika !!!!

Kakimbia huyu hapa anajua kumekucha kaenda Kwa mabwana zake US, watoto wa mazayuni kawaaacha Kwenye mabunker
 

Attachments

  • IMG_20250613_094706_324.jpg
    IMG_20250613_094706_324.jpg
    36.2 KB · Views: 17
🏴‍☠️🇺🇸 | CNN acknowledges the Zionist regime's use of American fighter jets in its aggression against Iran

🟡 @NEWWORLDORDYR
Hiyo haisaidii Iran hana ubavu wa kupambana na Israel mlikuwa mnasifia Dębe tupu!!! Yale Yale ya Hezbollah
 
Maghayo
MK254
T14 Armata

Mnasemaje juu ya haya yanayoendelea?
Huwa mada ya Israel VS Iran ina ushabiki mwingi.

Matukio yaliyopita yalionyesha strenght ya Iran ni wapi na walitumia turufu yao ya proxies. Na Israel wakati inashambulia Hamas ikalazimisha kuichokoza Hezbollah, na wakati inashambulia Hezbollah ikalazimisha kuichokoza Houthi. Baada ya hiyo buffer ya Iran basi wamebaki Israel na Iran kuwa front wenyewe.

Kwenye head to head Israel vs Iran mshindi naamini lazima awe Israel. Sasa hivi hatutabishana, tutaona matokeo. Tulianza na wale waliosema Iran ana air defense systems nzuri, na ana Israel hawezi shambulia Iran hana airspace ya kupita.
 
Kakimbia huyu hapa anajua kumekucha kaenda Kwa mabwana zake US, watoto wa mazayuni kawaaacha Kwenye mabunker
Endelea kufanya TAQIYYAH lakini Israel imefanya shambulio la kufanikiwa vizuri na malengo yametimia na Iran mpaka sasa hivi kushindwa kujibu mapigo, kabla ya hapo Iran ilikuwa inabwabwaja sana leo hii cha moto wamekipata wamepigwa bila huruma!!!
 
Iran ni dhaifu sana kijeshi na kijasusi ukilinganisha na Israel ..

Huo ndio ukweli.

T14 Armata dudus Mag3
Shambulizi limewahi kabla Iran hajaanza kupokea Su-35 visingizio vitakuwepo.

Ila bado Iran anazo air defense systems, interceptions zimeshindwa. Last month kuna article ilisema kiuhalisia Iran ina anga dhaifu sana bali inategemea miundombinu yake kuwa ardhini.

Hawana modern, layered AD, hawana command and control nzuri na networked system nzuri.
 
Hii wameiita" Operation Rising Lion" Wa Israel wanajua kua Iran atajibu sasa hapo ndio watakapokuja na awamu ya pili. Iran wepesi sana kwa Israel hadi mkuu wa majeshi kauawa na wanasayansi kibao. Mossad uwaga haifanyi makosa na usikute ile October 7 waliachia makusudi ili waanze safisha safisha ya mashariki ya kati. Nchi nyingi za kiarabu zinamuunga mkono Israel kumuadabisha Iran.
 
—❗️🇺🇸/🇮🇷/🇮🇱 NEW: The IDF Chief-of-Staff told Prime Minister Benjamin Netanyahu that an Israeli attack on Iran's nuclear sites would not succeed without direct U.S. participation – Channel 13

@Middle_East_Spectator
 
Huwa mada ya Israel VS Iran ina ushabiki mwingi.

Matukio yaliyopita yalionyesha strenght ya Iran ni wapi na walitumia turufu yao ya proxies. Na Israel wakati inashambulia Hamas ikalazimisha kuichokoza Hezbollah, na wakati inashambulia Hezbollah ikalazimisha kuichokoza Houthi. Baada ya hiyo buffer ya Iran basi wamebaki Israel na Iran kuwa front wenyewe.

Kwenye head to head Israel vs Iran mshindi naamini lazima awe Israel. Sasa hivi hatutabishana, tutaona matokeo. Tulianza na wale waliosema Iran ana air defense systems nzuri, na ana Israel hawezi shambulia Iran hana airspace ya kupita.
Naunga na wewe kwa mtazamo wa wazi kuwa Iran ana wakati mgumu sana kupambana na hao Wayahudi ambao tabia yao ni kukata mizizi kabla ya shina (wana eliminate vigogo kwanza).

Ila hayo yanayoendelea yanaonesha intelijensia ya Iran na mifumo yao ya ulinzi inahitaji kuboreshwa ili kuweza kukabiliana na hao vijana wa Netanyahu
 
Endelea kufanya TAQIYYAH lakini Israel imefanya shambulio la kufanikiwa vizuri na malengo yametimia na Iran mpaka sasa hivi kushindwa kujibu mapigo, kabla ya hapo Iran ilikuwa inabwabwaja sana leo hii cha moto wamekipata wamepigwa bila huruma!!!

Vita sio siku Moja elewa Hilo,Bado Kuna kazi ya kufanya kaka.. shambulio la kuvizia amehadaiwa na mazungumzo fake huku Nyuma ya pazia watu wanamlia timing thank God vinu viko salama na hamjui viko wapi hivyo mabomu watayafyatua tuu
 
Back
Top Bottom