Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Huo ni mwanzo wa vita kuu ya tatu ya dunia ( Arabs Vs Zionists)

Vita itapigwa ndani ya miaka saba, na baada ya vita hii, dunia itapata mtawala mpya

 
Hili ni siku za mwisho zilizotabiriwa. Hivyo, centre ya mambo itakuwa Israel na nchi za mashariki ya kati. Asomaye na afahamu.
 
Assalam alleykhum wa rahma tullah wabarakatuh.

Kwa kweli jambo hili ndugu watukufu waislamu tusinyamazie hata kidogo. Hawa jamaa ni kama wametushika makalio baada ya kuona tumeinama.

Wallah wabillah hili suala tuungane na Iran kuwapambania ndugu zetu dhidi ya Mayahudi. Hawa Mayahudi wametupiga vibaya sana na kuua Makamanda na wataalamu wa Nyuklia. Imenishangaza Iran tulikuwa wapi? Ndege 200 za Israel zinaingia na kujivinjali Iran sisi tunafanya nini?

Na hawa Mayahudi toka majuzi walisema watatupiga. Je tuliinama ili tuone kama kweli watafanya hicho kitendo? Sasa wametuingizia kidole...ni dhihaka tena wanawake wao ndo wanafanya hivi. Kuna aibu gani nyingine twataka?

Hili jambo mi limenshtua sana na kunsononesha.si haki wabillah. Si haki.hawa watu wataka tuishi vipi sisi wallah? Walianza na kututia kidole cha machoni sasa waona haitoshi wamekuja huku? Hii si sawa.

Tupambane uwanjani na huku kwenye mitandao. Laanatul lahullah waswahilina buneheh al vitalih bushkeneh natullah.

Tushikamane yahudi ataondoka hapa Duniyan na akhera hatokwenda.
 
Kwa muda mrefu sasa Israel ilikuwa inaongelea uwezekano WA kushambuliwa vinu vya nuclear vya Iran,huku wakiiomba Marekani isaidie katika kazi hiyo.Marekani walikataa kwa kutambua unyeti wa jambo hilo kppwa kuwa wana assets nyingi mashariki ya kati.Kwa Nini assets hizo hata hivyo zipo mashariki ya kati,is a million dollar question.Infact ina-aminika kuwa assets hizo zilipekekwa Mashariki ya kati kama maandalizi ya kuishambulia Iran!

Katika siku za hivi karibuni kabisa,Israel waliiomba tena Marekani isaidie Israel kuishambulia Iran,lakini Marekani ikakataa na ikasisitiza kuwa wasifanye hivyo.Wacambuzi WA mambo hata hivyo wanaamini kuwa hii ilikuwa kiini macho.Israel kwa upande wake ikasema kama wao Marekani hawatawasaidia Israel watafanya hivyo wenyewe.

Usiku wa kuamkia leo, Israel wameanza mashambulizi makali dhidi ya Iran na taarifa zilizopo ni kwamba viongozi wa juu kabisa wa Jeshi la Iran wameuwawa,vinu vya nuclear vimeharibiwa kabisa,viwanda vya kutengezea missiles na maghala ya kuhifadhi missiles yameharibiwa vibaya na mashambuluzi mazito bado yanaendelea.Ingawa Marekani ilijifanya kukataa kunisaidia Israel,inaaminika ilikuwa kiini macho,na sasa assets za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati zinaisaidia Israel kwa intelligence.

Iran kwa upande wake imesema inajiandaa kujibu mashambulizi.Tusubiri tuone Iran itakachofanya,lakini hali ni tete Mashariki ya kati.

Fuata link ifuatavyo Kwa taarifa zaidi.


This time hamchomoi labda atorokee Moscow. Kosa kubwa ambalo hawa kobazi hawajifunzi ni kuwa kila aliyeazimia kuiangamiza kabisa Israel yeye mwenyewe alifutiliwa mbali
Screenshot_20250613_092805.jpg
 
Assalam alleykhum wa rahma tullah wabarakatuh.

Kwa kweli jambo hili ndugu watukufu waislamu tusinyamazie hata kidogo. Hawa jamaa ni kama wametushika makalio baada ya kuona tumeinama.

Wallah wabillah hili suala tuungane na Iran kuwapambania ndugu zetu dhidi ya Mayahudi. Hawa Mayahudi wametupiga vibaya sana na kuua Makamanda na wataalamu wa Nyuklia. Imenishangaza Iran tulikuwa wapi? Ndege 200 za Israel zinaingia na kujivinjali Iran sisi tunafanya nini?

Na hawa Mayahudi toka majuzi walisema watatupiga. Je tuliinama ili tuone kama kweli watafanya hicho kitendo? Sasa wametuingizia kidole...ni dhihaka tena wanawake wao ndo wanafanya hivi. Kuna aibu gani nyingine twataka?

Hili jambo mi limenshtua sana na kunsononesha.si haki wabillah. Si haki.hawa watu wataka tuishi vipi sisi wallah? Walianza na kututia kidole cha machoni sasa waona haitoshi wamekuja huku? Hii si sawa.

Tupambane uwanjani na huku kwenye mitandao. Laanatul lahullah waswahilina buneheh al vitalih bushkeneh natullah.

Tushikamane yahudi ataondoka hapa Duniyan na akhera hatokwenda.
Waarabu wa buza mmeanza 😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom