Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Mkuu, watatoa wapi nguvu hiyo? Kama wameshindwa hata kulinda watu wao muhimu hadi kuuliwa kama inzi ndo wawe na cha kujibu? Ayatollah mwenyewe aliko hana uhakika wa kuendelea kuishi.
 
Mkuu, tumia bc ht akili za kawaida tuu
Yn Iran impige USA 😂

Dah kweli mapenzi yamekuweka kuwa kipofu 😂

Hawa huwa hawatumii akili. Ni jazba na mihemko tu. Huwezi wakuta wanatumia akili. Utaona hata humu. Mtu mwenye akili hawezi vaa kisuruali cha mtoto kinamfika tu karibu na magoti akawa anatembea bila aibu.
 
Wakanisa wanajua hayo lakini wanajidai tu kumsifia simba kwenye picture. We huwajui wakristo kwa uwongo we waitikie tu Israel ndio kashambulia hahaha

Sisi tunasubiri zile Missiles moja ina uzito wa ton zikachafue Dimona Nuclear Station
Tani 2 sio Tani 1.
Aisee bora uue askari mia wa Iran kuliko kuua raia mmoja wa Iran.
Kisasi kitakua kibaya sana.
Maana yameshambuliwa makazi sio maeneo ya jeshi.
Hata hao makamanda waliokufa walikua kwenye makazi yao wamepumzika.
Nuclear facilities na makombora yako salama kabisa.
 
Iran wanasema Kuna vifo vya raia vimetokea na wanasema palipolengwa ni makazi ya raia sio nuclear facilities??
Sasa najiuliza hawa Israel intelligence yao ikoje hadi wanakosea lengo na kuua raia?
Raia wengi makumi wa Iran wameuawa.

Halafu Kuna wapuuzi wanasema kuwa Iran ilivyoshambulia ilikosa target.
Tuwakumbushe kuwa Iran iliposhambulia mara ya mwisho iliharibu Nevatim airbase.
Ilivunja makazi 100+ ya waisraeli, vifo vilifichwa vya waisrael.
Anaebisha tumletee ushahidi hapa.

Sasa naona Israel inaenda kubutuliwa kuliko mwanzo.
Maana Iran imesema sasa hivi itatumia Heavy guided ballistic missiles.
Tena zile zenye 2 tonnes war head,sio yale makombora ya 500 kg aliyotumia mwanzo ambayo mepesi.
Hao majenerali na wanasayansi wa nuclear ni raia?
Andiko refu akili tone
 
Iran wanasema Kuna vifo vya raia vimetokea na wanasema palipolengwa ni makazi ya raia sio nuclear facilities??
Sasa najiuliza hawa Israel intelligence yao ikoje hadi wanakosea lengo na kuua raia?
Raia wengi makumi wa Iran wameuawa.

Halafu Kuna wapuuzi wanasema kuwa Iran ilivyoshambulia ilikosa target.
Tuwakumbushe kuwa Iran iliposhambulia mara ya mwisho iliharibu Nevatim airbase.
Ilivunja makazi 100+ ya waisraeli, vifo vilifichwa vya waisrael.
Anaebisha tumletee ushahidi hapa.

Sasa naona Israel inaenda kubutuliwa kuliko mwanzo.
Maana Iran imesema sasa hivi itatumia Heavy guided ballistic missiles.
Tena zile zenye 2 tonnes war head,sio yale makombora ya 500 kg aliyotumia mwanzo ambayo mepesi.

IMG_20250613_075647.jpg
IMG_20250613_075540.jpg
 
Tani 2 sio Tani 1.
Aisee bora uue askari mia wa Iran kuliko kuua raia mmoja wa Iran.
Kisasi kitakua kibaya sana.
Maana yameshambuliwa makazi sio maeneo ya jeshi.
Hata hao makamanda waliokufa walikua kwenye makazi yao wamepumzika.
Nuclear facilities na makombora yako salama kabisa.
MISSILES zimeisha ondoka Iran kuelekea Israel
 
Iran wanasema Kuna vifo vya raia vimetokea na wanasema palipolengwa ni makazi ya raia sio nuclear facilities??
Sasa najiuliza hawa Israel intelligence yao ikoje hadi wanakosea lengo na kuua raia?
Raia wengi makumi wa Iran wameuawa.

Halafu Kuna wapuuzi wanasema kuwa Iran ilivyoshambulia ilikosa target.
Tuwakumbushe kuwa Iran iliposhambulia mara ya mwisho iliharibu Nevatim airbase.
Ilivunja makazi 100+ ya waisraeli, vifo vilifichwa vya waisrael.
Anaebisha tumletee ushahidi hapa.

Sasa naona Israel inaenda kubutuliwa kuliko mwanzo.
Maana Iran imesema sasa hivi itatumia Heavy guided ballistic missiles.
Tena zile zenye 2 tonnes war head,sio yale makombora ya 500 kg aliyotumia mwanzo ambayo mepesi.

TUTAKUSHIKA UONGO SANA LEO. KHAYATOLLAH ANAKIRI WEWE ULIYEPO KUNDU UCHI UNALETA BLAH BLAH ZAKO ZA KUAMBIWA MSIKITINI NA SHEIKH KITINKU AMBAYE HAJUI KIINGEREZA WALA KIARABU.
 
Tani 2 sio Tani 1.
Aisee bora uue askari mia wa Iran kuliko kuua raia mmoja wa Iran.
Kisasi kitakua kibaya sana.
Maana yameshambuliwa makazi sio maeneo ya jeshi.
Hata hao makamanda waliokufa walikua kwenye makazi yao wamepumzika.
Nuclear facilities na makombora yako salama kabisa.
Kumbe! , asante sana mtu makini katika medani za intelijensia kutoka hapo rasi ya uajemi, endelea kushusha nondo.. Maana zako ni classified.. Zile za ndani ndani kabisa.
 
Tani 2 sio Tani 1.
Aisee bora uue askari mia wa Iran kuliko kuua raia mmoja wa Iran.
Kisasi kitakua kibaya sana.
Maana yameshambuliwa makazi sio maeneo ya jeshi.
Hata hao makamanda waliokufa walikua kwenye makazi yao wamepumzika.
Nuclear facilities na makombora yako salama kabisa.
Ndugu 2 ton lakini wanakadiria zitakuwa zaidi ya 1000 ton zitakazo shuka hapo kutokana na hi channel.

View: https://youtu.be/EM4gz5i8D8A?si=4lIenyl2rZaOx-bu
 
Back
Top Bottom