Nitambo ya ulinzi wa anga inakuwa aijawekwa kwenye command ya full sensitive kwa sababu mitambo ikiwekwa kwenye full sensitive inakuwa hatari hata kwa vifaa vyenu vyenye kuruka angani kama ndege nk
Hayo yamefika Iran tena.Sasa hivi mnajificha kwa raia siyo watoto tena?
Netanyau apewe tuzo ya heshima, jasili sana huyu mwamba. Ni kizazi cha kishujaa
Ndugu sio 2 ton ni 1000 ton kutokana na hi channel.
View: https://youtu.be/EM4gz5i8D8A?si=4lIenyl2rZaOx-bu
TakbirrrKuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
Hata hapo Syria pia wamejipangaDrone 100 Zina elekea Israel zita tumia masaa kadhaa kabla hazija fika Israel zitashushwa zote kwenye Anga la Jordan
#RisingLion piga ayo magaidi
Yaan US ndio mtoa taarifa wako?Anayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
Sikia Iran kashoonesha uzembe round ya kwanza, anapigwa huku Russia na China wanatulia kuchake game, baada ya Vita China anaomba deal la kurekebisha vinu vya mafuta na kupitisha mizigo yake Bandari za Israel game overIran inajibu kwa nguvu zaidi, Israel inajibu tena.
US inaionya Iran kutojibu shambulizi lolote kwa Israel kwa kutishia kutumia nguvu za kijeshi. Iran inakaidi na kujibu kwa nguvu kuliko kawaida.
Russia inaingilia kati kumlinda mshirika wake Iran na kutishia kujibu endapo Iran itashambuliwa.
US inafanya mashambulizi ndani ya Iran.
Iran inalenga base za jeshi zote za US middle East.
Russia anaingilia kati kuipa Iran mifumo ya ulinzi wa anga, ndege vita naa silaha mbali mbali, US na EU wanaipatia Ukkraine makombora kupiga ndani ya Russia.
China inaona ni wakati sahihi kuiteka Taiwan...
Ukraine inaishambulia Russia Moscow kwa makombora heavy. Russia inapiga ndani ya EU kama ilivyoahidi makombora ya balistiki ya nchi yeyote EU yakitumika kupiga ardhi yake basi atajibu kwa kupiga nchi hio.
Russia inalenga vituo vya kijeshi vya NATO na nchi zilizoisaidia Ukraine.
NATO inatangaza kuingia kuishambulia Russia kwa makombora, askari wa miguu na ndege
North Korea anajitokeza kuisaidia Russia....
Mpaka hapo hio ni world war 3....
Hao viongozi wa kijeshi waliouawa nao walikuwa raia?Iran wanasema Kuna vifo vya raia vimetokea na wanasema palipolengwa ni makazi ya raia sio nuclear facilities??
Sasa najiuliza hawa Israel intelligence yao ikoje hadi wanakosea lengo na kuua raia?
Raia wengi makumi wa Iran wameuawa.
Halafu Kuna wapuuzi wanasema kuwa Iran ilivyoshambulia ilikosa target.
Tuwakumbushe kuwa Iran iliposhambulia mara ya mwisho iliharibu Nevatim airbase.
Ilivunja makazi 100+ ya waisraeli, vifo vilifichwa vya waisrael.
Anaebisha tumletee ushahidi hapa.
Sasa naona Israel inaenda kubutuliwa kuliko mwanzo.
Maana Iran imesema sasa hivi itatumia Heavy guided ballistic missiles.
Tena zile zenye 2 tonnes war head,sio yale makombora ya 500 kg aliyotumia mwanzo ambayo mepesi.
Irani ilisha mshambulia Israel ila alikosa target alipiga airport na maeneo fran ila watu wamesahauNi nini kimeiuzi Israel hadi kuishambulia Iran???
Kosa la Iran liko wapi??
Achana na hawa vilaza.Hao viongozi wa kijeshi waliouawa nao walikuwa raia?
Watalaam wa kivita wa Tanzania banahTUTAKUSHIKA UONGO SANA LEO. KHAYATOLLAH ANAKIRI WEWE ULIYEPO KUNDU UCHI UNALETA BLAH BLAH ZAKO ZA KUAMBIWA MSIKITINI NA SHEIKH KITINKU AMBAYE HAJUI KIINGEREZA WALA KIARABU.