29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Allah awagonganishe hawa madhalimu na awatoe Waislam katikati yao kwa salama.
Allah azirudishe Iran na occupied Palestine katika mikono ya Waislam.
Allah azinusuru nchi za Kiislam kutokana na vitimbi vya mashia, mazayuni na wasaidizi wao (mazayuni).
Akina khamenei hawawezi hata kujilinda wenyewe halafu wanasema watawalinda wapalestina na kuwanusuru. Yaani watu wanaowakufurisha Maswahaba na Wake za Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) na kuwatukana matusi makubwa makubwa eti ndio waikomboe Al Quds na Masjid Al Aqswa (ambazo zilifunguliwa na kukombolewa na Maswahaba ambao hao mashia wanawatukana).
Allah awaridhie Maswahaba wote wa Mtume.
View: https://x.com/Osint613/status/1933395466126848158?t=-Z28ypApUDXcxsgCBBz_ZQ&s=19