Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Ila kama hao wahandisi wa Iran walikuwa hawako mafichoni, nitaendelea kuwadharau sana maana watakuwa wameuliwa kizembe.

Hawatakiwi kuwa wanazubaa zubaa sehemu moja tu hadi adui yako anajua ulipo! Iran ni nchi kubwa ya kutosha kuweza kujificha bila kugundulika.
Shida anaekuambia jifiche pale ni "mole" ukishajificha anatoa taarifa uko lumumba chumba namba nane floor ya tatu
 
Kama Iran ingekua na ukaribu na Israel tegemea Israel ingeteketezwa.
Maana Iran angeingia kwa miguu ndani ya Israel usingeamini kitakachotokea.
Kumbuka unaizungumzia Iran ilopigana vita miaka 8 pasi na kupumzika.

Nini kinawazuia?
 
Back
Top Bottom