Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Wanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
zimepigwa asee na wakuu wao wa majeshi wamekua assasinated, asee iran kwa sasa ana hali mbaya namuonea huruma sana
 
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Marekani imeshasema haikuhusika na hilo shambulio
 
Sikia Iran kashoonesha uzembe round ya kwanza, anapigwa huku Russia na China wanatulia kuchake game, baada ya Vita China anaomba deal la kurekebisha vinu vya mafuta na kupitisha mizigo yake Bandari za Israel game over
Muda utaongea...
 
Hao viongozi wa kijeshi waliouawa nao walikuwa raia?
Viongozi wameuliwa wakiwa uraiani.
Mzee Mfano Mwamunyange anaishi Kigamboni,ukilipua kumuua Mwamunyange pale makazi yake Kibada lazima utatuua na sisi.
 
Hii v

Israel kwenye haya mashambulizi inalenga wanasayansi wa nuclear wa Iran , viongozi wakubwa kijeshi, air defenses, missiles sites na wanafanya covert sabotage operations...

Nadhani wametuma agents kufanya matukio ndani ya Iran.
Major escalation just rocked the region—direct Iranian strikes on Israel triggered swift preemptive Israeli counterattacks, with both sides signaling readiness for a drawn-out fight. Crypto markets took a hit: Bitcoin and ETH plunged, and over $1B liquidated in mere hours as traders fled risk.

The real tension: Iran is threatening asymmetric retaliation on US and Israeli interests globally, and the lack of clear US alignment adds more uncertainty. Risk-off flows dominate across equities, forex, and especially crypto—expect more volatility until the dust settles.

The crossfire isn’t just military—watch for cyber, terror, and market moves as the Middle East teeters on wider conflict. Stay sharp and nimble as the situation evolves.

Get the full breakdown, key signals, and what’s next:
alva.xyz/share/chat?id=…
 
Bikira zitaisha kudadeki
20250613_084520.jpg
 
Wanasayansi nahao makamabnda walikuwa sehemu moja? If yes how wanakaa sehemu moja ktk tahadhari ya vita?
Iran will have to respond failure to that ankuwa "Zuchu " atachezewa mpaka akome.
He has to respond. To respond he must kubalansi mkeka. Lakini pia attacking is an art and a science. Siyo lazima Sasa hivi. Apange mabeki. US will enter ajue kabisaa.
Bibi is using war for political mileage. The Israel senet was to vote to dissolve the parliament today.
 
Inasikitisha sijui kwanini hawataki na hawawezi kuishi kwa amani na majirani zao.

Wao ni vita tu bila sababu yoyote. Inasikitisha
Assume jirani anataka akufute kwenye uso wa dunia utajisikiaje? Yaani unaona mwaka hadi mwaka anajiimalisha Ili kutimiza azma yake utabaki unamtizama tu na kumshitakia MUNGU?
Mkuu hivi zile air defense systems za Urusi hazikuwa activated licha ya kila dalili kuwa Israel angeshambulia?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Ukiona kafanya hivyo ujuwe alishajiandaa mapema na ameshausoma udhaifu wa Iran,hawa huwa hawakurupuki...
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Back
Top Bottom