Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Hii retaliation ya Iran ndio israel anataka sasa ili apate chance ya kumaliza kazi kabisa.
Kifuatacho ni Ayatollah kwenda mbinguni
Kifuatacho ni Ayatollah kwenda mbinguni
Akaua makamanda na scientist wangpi?Iran hakukosa target.
Ali hit target anazotaka.
Ila alitumia unguided missiles.
Awamu hii anatumia highly precision guided missiles tusubirie majibu.
Air defense system ipo na kumefanya kazi yake.Haieleweki kama ipo.
Hivi rada za Iran hazioni F 35 fighters ? ??
Kama hakukimbia kipindi chote hiko sidhan kama atakimbia sasaVita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Unaweza kuzuia wave ya mashambulizi kutoka kwa ndege 200?Air defense system ipo na kumefanya kazi yake.
Ila inachosemekana mashambulizi ni kama yametokea ndani ya mipaka sio nje ya mipaka.
Maana ghafla tu wanashangaa mabomu yanalipuka.
Ila Iran has a lot to do . Huwezi ingia vitan na Israel Kisha ukae kizembe. Kama chief is staff anauliwa Ayatollah hajatakiwa kuuawa tu hapoAir defense system ipo na kumefanya kazi yake.
Ila inachosemekana mashambulizi ni kama yametokea ndani ya mipaka sio nje ya mipaka.
Maana ghafla tu wanashangaa mabomu yanalipuka.
Hakuna ndege iliyoingia kwenye anga la Iran.Hivi rada za Iran hazioni F 35 fighters ? ??
Huijui bibilia na hilo ndo tatizo la Wakristo wengi! Kwa bahati mbaya nasafiri vinginevyo ningekupa elimu ya kutosha kwa sababu inaonesha wazi wala hujui maandiko! Hata hivyo nitasema machache kabla sija log-off!Jambo la msingi unalotakiwa ulijue ni kwamba kuitambua,,kuikubali Israel sio mawazo ya mtu...Ni maandiko ya biblia...Na kama huyakubali...milango ya msikiti iko wazi kwa ajili yako.Nenda kakae na wenzio
Agano kama hilo aliambiwa pia Isaka baba yake Yakobo! Sasa aya hizo kutoka Agano la Kale ndio watu aina yenu mnapojificha kutetea udhalimu wa wale Wazungu kutoka Ulaya lakini mnashindwa kuioanisha na Maandiko ya Injili huku mkisahau Yesu Kristo ametuambia alikuja kuijaziaMimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Abrahamu baba yako, na Mungu wa Isaka. Nchi unayoilalia nitakupa wewe na wazawa wako. Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa. Mimi nipo pamoja nawe; nitakulinda popote uendapo na kukurudisha katika nchi hii. Sitakuacha mpaka nitakapotimiza ahadi niliyokupa.
Mimi dhehebu langu linautambua waraka huo wa Mtume Paul ambao aliutoa kwa Wagalatia! Je, wewe binafsi na dehebu lako linautambua waraka huo wa Paul? Kama mnautambua, na hapo Mtume Paul anatuambia uzao unaozungumzia hapa ni ule wa Kristo, je hawa Zionists wa Ulaya kiimani ni Uzao wa Kristo hadi useme eti bibilia imetuagiza Wakristo kuikubali Israel?Basi ahadi zilinenwa kwa Abrahamu na kwa mzao wake. Hasemi, Kwa wazawa, kana kwamba ni wengi, bali kana kwamba ni mmoja, Kwa mzao wako, yaani, Kristo!
Hivi Genge lililomkana Yesu Kristo hadi sasa linakuwaje kuwa ni wenye imani? Na kama hawana imani yao dhidi ya Kristo wanabarikiwaje pamoja na Abrahamu kiasi cha kutufanya Wakristo wote duniani tuwanyenyekee? Na kwavile Wayahudi wanamfuata Mussa na Wakristo wanamfuta Yesu Kristo, je ni nani ana-fit kwenye andiko "na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa"?. Ni miliki ipi ya Judaism iliyoenea pande zote za dunia?Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Abrahamu. Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiria Abrahamu Habari Njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa. Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Abrahamu aliyekuwa mwenye imani.
Ni nani hapo Peter alikuwa anawaambia kama sio Wayahudi? Je, Wayahudi kizazi cha akina Netanyahu waliitikia huo wito ili hatimae wawe nyumba ya kiroho?Basi, njooni kwake yeye aliye Jiwe lililo hai, ambalo lili kataliwa na watu bali kwa Mungu ni teule na la thamani kubwa. Ninyi pia, kama mawe hai mjengwe kuwa nyumba ya kiroho, mpate kuwa makuhani watakatifu, mkitoa sadaka za kiroho zinazokubaliwa na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.
Hizo ahadi mnazosema kwa Wana wa Israel misingi yake ndo hiyo hapo! Na imani zinazosemwa hapo zinafungamana moja kwa moja na kumfuata Yesu Kristo lakini sio eti kwavile wewe ni Myahudi basi automatically unakuwa mteule na kukutana na baraka za Mungu! Na kuna aya moja siikumbuki, lakini itafute mwenyewe kwa Warumi inazungumzia jinsi ambavyo Mtume Paulo alikuwa anasikitishwa na ndugu zake kwa kumkana Yesu Kristo. Kwa maana hiyo, hapa wanazungumziwa Wana wa Israel waliompokea Yesu Kristo!Kwa maana ile ahadi kwamba angeurithi ulimwengu haikuja kwa Abrahamu au kwa wazao wake kupitia kwa sheria bali kupitia kwa haki ipatikanayo kwa imani. Kwa maana ikiwa wale wanaoishi kwa sheria ndio warithi, imani haina thamani na ahadi haifai kitu, kwa sababu sheria huleta ghadhabu.
Exactly, Iran itajibu kwa nguvu sana sana..
Trump leo namsikia anasema kabisa kuna uwezekano vita kuu ya 3 ikatokea... sasa sielewi ...
Wafanye hivyo mapema kwa kweli!Nasikia wanataka wamuongeze kwenye biblia na yeye
Israel ni maji marefu si wa kuchezea sasa hivi hakuna cha Nuclear tena wajipange upya kama alivyosema rais waoAnayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
Uko sahihi,katika sehemu ambayo Israel anawa win hawa watu wa middle east ni intelijensia yake.Ila Iran has a lot to do . Huwezi ingia vitan na Israel Kisha ukae kizembe. Kama chief is staff anauliwa Ayatollah hajatakiwa kuuawa tu hapo
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Unaongea tuHakuna ndege iliyoingia kwenye anga la Iran.
Ni mabomu tu ndio yalisikika yakilipuka.
Hata hao Iran wanashuku huwenda mashambulizi mengine yalitokea ndani ya mipaka.
Kumbe ushabiki huwa unajitoa akili hadi unafikia kiwango cha juu cha ujinga, hadiunaandika vifupi kama mtoto?Mkuu, tumia bc ht akili za kawaida tuu
Yn Iran impige USA 😂
Dah kweli mapenzi yamekuweka kuwa kipofu 😂
Hahaha 😂🤣Em shuka juu ya kiuno Cha mtu,
Ndege Ina uwezo wa kurusha kombora umbali wa 45 miles na target.