Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Ana majibu gani wakati yeye alituma mvua ya mabomu lkn Kwa asilimia kubwa yalizuiliwa yeye huto tuwili tumemshinda kuzuia
Yali zuiliwa na nchi ngapi mkuu ? Na Israel ndege zake zina sukumwa na nchi ngapi ?
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
 
Na unawekaje low level kwa hali ilivyokuwa? Mpaka US anahamisha wanadiplomasia, Trump anazungumza na Netanyahu, Trump anasema kuna dalili za Israel kushambulia yote hayo Iran hakustuka?
Hapo sio ishu ya kuweka low level ila kakutwa na mapigo ya kimkakati
Hy low level n huyo mpuuzi tuu amejiongeza kisa Magaidi wenzake wamepewa kichapo
 
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
 
Acheni propaganda za kitoto unajua Rais wa sasa wa Syria na Istoria yake na Marekani?
Ili kudhibiti mtandao wa magaidi Mashariki ya Kati ni muhimu kumpiga pini sponsa wao.
Dunia bila ugaidi inawezekana
 
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Ila ukifikilia Sana bado utagundua Iran ni mchumba Tu kwa Israel hebu fiklia mvua ya mabomu ya Irani kwenda Israel ni kama walikuwa wanabahatisha kwamba Israel wakizui 8 basi mawili yatue harafu cheki majibu ya mwanaume hajajichosha kutuma mabomu 100 ila kaenda kushambulia sehemu alizotagert na kafanikiwa
 
Mbona hakuna explosive za maana kama za Gaza au wametumia baruti za kuskunk miamba?
Ktk vita kuna hatua.
1. Wamakupruni mikono na miguu
2. Baafae wanakuja kunyofoa mbavu figo maini na moyo.

Sasahivi wanapiga kwanza vitendea kazi na watenda kazi, wasuka mipango na watekeleza mipango.

baadae wanakuja kufagia mji.

kama ulikua hujui nimekujuza
 
Mbona Nuclear facilities hazikuguswa mpaa mda huu anarusha Missiles hajui target zipo wapi yale yale ya Yemen
Unajua kuwa mkuu wa majeshi ya irani kashaaga dunia yeye pamoja na majenerali wake?? Wanasayansi pia ni miongoni mwao waliotangulia.............hapa issues sio mitambo issue ni waendesha mitambo ndio wahusika wakubwa
 
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Back
Top Bottom