Kwa muda mrefu sasa Israel ilikuwa inaongelea uwezekano WA kushambuliwa vinu vya nuclear vya Iran,huku wakiiomba Marekani isaidie katika kazi hiyo. Marekani walikataa kwa kutambua unyeti wa jambo hilo kppwa kuwa wana assets nyingi mashariki ya kati. Kwanini assets hizo hata hivyo zipo Mashariki ya kati, is a million dollar question. Infact ina-aminika kuwa assets hizo zilipekekwa Mashariki ya kati kama maandalizi ya kuishambulia Iran!
Katika siku za hivi karibuni kabisa,Israel waliiomba tena Marekani isaidie Israel kuishambulia Iran,lakini Marekani ikakataa na ikasisitiza kuwa wasifanye hivyo. Wacambuzi WA mambo hata hivyo wanaamini kuwa hii ilikuwa kiini macho.Israel kwa upande wake ikasema kama wao Marekani hawatawasaidia Israel watafanya hivyo wenyewe.
Usiku wa kuamkia leo, Israel wameanza mashambulizi makali dhidi ya Iran na taarifa zilizopo ni kwamba viongozi wa juu kabisa wa Jeshi la Iran wameuwawa,vinu vya nuclear vimeharibiwa kabisa, viwanda vya kutengezea missiles na maghala ya kuhifadhi missiles yameharibiwa vibaya na mashambuluzi mazito bado yanaendelea.
Ingawa Marekani ilijifanya kukataa kunisaidia Israel, inaaminika ilikuwa kiini macho,na sasa assets za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati zinaisaidia Israel kwa intelligence.
Iran kwa upande wake imesema inajiandaa kujibu mashambulizi.Tusubiri tuone Iran itakachofanya,lakini hali ni tete Mashariki ya kati.
Fuata link ifuatavyo kwa taarifa zaidi.
Israel has launched an unprovoked military attack upon Iran. Multiple reports from several countries are saying "hundreds" of fighter jets and drones are
halturnerradioshow.com