Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
 
Ukimsikiliza huyu professor Jeffrey,jamaa alikuwa anajua vita vyote vitakavyo tokea kuanzia Iraq,Libya,Afghanistan na hii ya Iran. Jamaa ni Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi, jamaa anamponda sana Netanyahu kwani anadai ndiye mastermind wa vita vyote hivyo.
View attachment 3366541
Najua kuna watu hawamjui ila ni product ya Havard,kishaandika vitabu kibao na ameshakuwa mshauri wa Koffi Anan na Antonio Gutares.

Hatimaye alicho kitabiri kimetimia.
Alitabiri nini kuhusu shambulizi la leo.
 
Jeshi la Wanahewa la Israel limewaangamiza Makamanda Watatu Wakuu wa Kijeshi wa Utawala wa Iran

Usiku kucha, zaidi ya ndege 200 za Jeshi la Wanahewa la Israel, zikiongozwa na taarifa za kijasusi kutoka kwa Kurugenzi ya Ujasusi, zilishambulia zaidi ya shabaha 100 kote nchini Iran, zikiwemo maficho ya maafisa wakuu katika uongozi wa jeshi la Iran.

Mashambulizi hayo yaliwaondoa makamanda watatu wakuu wa kijeshi wa utawala wa Iran:

1. Mkuu wa Majeshi ya Utawala wa Iran, Mohammad Hossein Bagheri.
2. Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Hossein Salami
3. Amiri wa Khatam al-Anbiya (Kamanda wa Dharura), Gholam-Ali Rashid

“Mytake” Mkuu wa Majeshi wa Israel alishawahi kuiambia Iran kuwa mtoto anaweza kuchezea matiti ya mama yake lakini hawezi kuchezea Korodani za Baba yake hata siku moja. Msemo huo umethibitika leo hii, Makamanda hawa walikuwa kila kukicha wanatoa matamko leo hii wametangulizwa kwenda kupokea Mabikira 72 kama walivyoahidiwa!,,,
 

Attachments

  • IMG_3247.jpeg
    IMG_3247.jpeg
    135.3 KB · Views: 21
  • IMG_3246.jpeg
    IMG_3246.jpeg
    131.6 KB · Views: 20
  • IMG_3245.jpeg
    IMG_3245.jpeg
    103.9 KB · Views: 24
Yali zuiliwa na nchi ngapi mkuu ? Na Israel ndege zake zina sukumwa na nchi ngapi ?
Kwenye vita lazima utakiwa na washilika hata Iran kuna nnchi zinamuunga mkono but hoja yangu Iran sio smart kama Israel vita ni mikakati mi naamini Israel akiamua kutuma mabomu mengi kama alivyofanya Iran busi tungekuwa tunaongea mengine
 
Sasa Marekani anasema ahusiki nani kamuulza atulie kama ahusiki mbona kawahamisha wanajeshi wake Iraq, Kiwait, Baharen. Asubiri bakora za Iran hawa siyo Gaza.
 
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
 
Kuna watu humu walikuwa wanakataa kuwa Israel haiwezi kuishambulia Irani najua sasa hivi watakuwa wamejificha na kuona aibu.
Israel ni dude jingine kabisa hapa duniani!!! Mashambulizi haya ya Israel kwa Iran hata huku a mpaka Wiki mbili ili kuinyoosha Iran.@Blackbold Naomba utu saidzie kuunganisha uzi huu kuhusu Iran kushambuliwa
Webabu Adiosamigo mdogoye ayb
Tumesikia, tuwe watulivu mchezo ndio umeanza.
 
Syria
 

Attachments

  • VID_20250613_095209_561.mp4
    374.1 KB
Ila ukifikilia Sana bado utagundua Iran ni mchumba Tu kwa Israel hebu fiklia mvua ya mabomu ya Irani kwenda Israel ni kama walikuwa wanabahatisha kwamba Israel wakizui 8 basi mawili yatue harafu cheki majibu ya mwanaume hajajichosha kutuma mabomu 100 ila kaenda kushambulia sehemu alizotagert na kafanikiwa
Subiri majibu..
 
Mm na Netanyahu tupo pamoja mkuu, namuunga mkono kugawa dozi kama karanga kwa magaidi 🔥
Sijui mimi nina tatizo gani maana huwa nawashabikia maghaidi na waasi, kwa mfano nawashabikia waasi wa M23, waasi wa Lord's Resistance Army (LRM) ya bwana Joseph Kony, maghaidi wa Boko Haram, Al shaabab, Islamic state, Al Qaeda, waasi wa kikurdi.

Pia usisahau kwamba Mimi ni mshabiki lialia wa Hitler, Osoma, Sadam Hussein (na watoto wake Uday & Qusay), Joseph Stalin, Nduli Iddi Amini.

Kwa wapenda haki niliwashabikia John P. Magufuli na Muammar Gaddafi.

Kama nina shida niombewe.

Monetary doctor Dr am 4 real PhD
 
Back
Top Bottom