Subiri majibu..Mnajifariji akijibu atapasuliwa mbaya mbovu
Waarabu wa buza mmeanza 😃😃😃😃
Unatoa tamko wewe na Nani 😁
akimbie aende wapi? tulieni dozi iwaingie, kamanda wa jeshi anauliwa kama kuku?Nasikia netanyau kakimbia inchi
View attachment 3366593
Utajua nipo wapi ukifika wakati. Tunaanza upyaaaaTamko ukiwa mburahati?!!
Nimewahi ikulu zote za nchi za Africa mashariki 😹.Mm nimepawahi pale mlimani city na Ikulu 🔥
Umeipata kijiwe gani mkuu🤣Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Utasubiri sana tu!! Israel imetimiza lengo łąkę la kuzishambulia vituo vya ki nuclear huko IranKilio kikuu kinaenda kutokea ndani ya Israel na kambi za US!
Jumapili mbali!
Mimi sio Muiran mkuu,ninatoa taarifa tu ya ninachokijua.This time hamchomoi labda atorokee Moscow. Kosa kubwa ambalo hawa kobazi hawajifunzi ni kuwa kila aliyeazimia kuiangamiza kabisa Israel yeye mwenyewe alifutiliwa mbali
View attachment 3366587
Nipo Goma wiki ya tatu sasa ni masasi yanarundima bakongo, bamutu ya huku no wasiwasi.... Hatuna makuta Le papaa ndegeSijui mimi nina tatizo gani maana huwa nawashabikia maghaidi na waasi, kwa mfano nawashabikia waasi wa M23, waasi wa Lord's Resistance Army (LRM) ya bwana Joseph Kony, maghaidi wa Boko Haram, Al shaabab, Islamic state, Al Qaeda, waasi wa kikurdi.
Pia usisahau kwamba Mimi ni mshabiki lialia wa Hitler, Osoma, Sadam Hussein (na watoto wake Uday & Qusay), Joseph Stalin, Nduli Iddi Amini.
Kwa wapenda haki niliwashabikia John P. Magufuli na Muammar Gaddafi.
Kama nina shida niombewe.
Monetary doctor Dr am 4 real PhD
😂😂😂😂 kwahiyo israel kaingiza kidole noma sanaAssalam alleykhum wa rahma tullah wabarakatuh.
Kwa kweli jambo hili ndugu watukufu waislamu tusinyamazie hata kidogo. Hawa jamaa ni kama wametushika makalio baada ya kuona tumeinama.
Wallah wabillah hili suala tuungane na Iran kuwapambania ndugu zetu dhidi ya Mayahudi. Hawa Mayahudi wametupiga vibaya sana na kuua Makamanda na wataalamu wa Nyuklia. Imenishangaza Iran tulikuwa wapi? Ndege 200 za Israel zinaingia na kujivinjali Iran sisi tunafanya nini?
Na hawa Mayahudi toka majuzi walisema watatupiga. Je tuliinama ili tuone kama kweli watafanya hicho kitendo? Sasa wametuingizia kidole...ni dhihaka tena wanawake wao ndo wanafanya hivi. Kuna aibu gani nyingine twataka?
Hili jambo mi limenshtua sana na kunsononesha.si haki wabillah. Si haki.hawa watu wataka tuishi vipi sisi wallah? Walianza na kututia kidole cha machoni sasa waona haitoshi wamekuja huku? Hii si sawa.
Tupambane uwanjani na huku kwenye mitandao. Laanatul lahullah waswahilina buneheh al vitalih bushkeneh natullah.
Tushikamane yahudi ataondoka hapa Duniyan na akhera hatokwenda.
Gaza pia wanaponzwa na ayatollah wa Iran.Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Escalation inaweza kutokea,usichukulie jambo hili poa mkuuSio Mashariki ya Kati, sema hali ni tete Iran
Ndege Ina uwezo wa kurusha kombora umbali wa 45 miles na target.
Iran imepata pigo baya la kushtukiza.Nasikia netanyau kakimbia inchi
View attachment 3366593
Hapa zitapigwa kambi za USA zote zilizopo IRQ ndo maana USA kasema hausikiUwanja umeachwa wazi wa nadharia za uwezo wa Iran kuonyeshwa. Sipendi vita ila hii ni fursa waliopewa Iran kufanya chochote wanachoweza na wanachojisikia KWA Israel.
Ikishindwa au ikirusha makombora yakadunguliwa basi itabidi iungane na Hesbullah na Hamas kwenye kufeli kwake.
Netanyahu nimemuogopa KWA risk kubwakubwa anazochukua
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.