Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Sasa mifumo kuwekwa low level Ndo hujajiandaa? Ndo mana nasema ww hufatilii ndo mana unasema hayo, kitu mpaka Trump kaongea afu ww mbongo unajifanya unajua zaidi yake 😂
Na unawekaje low level kwa hali ilivyokuwa? Mpaka US anahamisha wanadiplomasia, Trump anazungumza na Netanyahu, Trump anasema kuna dalili za Israel kushambulia yote hayo Iran hakustuka?
Hapo sio ishu ya kuweka low level ila kakutwa na mapigo ya kimkakati
 
Wanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Israel ni maji marefu niliwaambia Iran lazima apigwe tu mkabisha wewe na jamaa zako wengine sasa hivi wamezima simu kwa aibu!!!
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮

Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
 
Ana majibu gani wakati yeye alituma mvua ya mabomu lkn Kwa asilimia kubwa yalizuiliwa yeye huto tuwili tumemshinda kuzuia
Msitake kutudanganya nyie.
Mabomu yaliingia na makazi zaidi ya 100 yaliharibiwa.
Embu muwe mnasoma habari.
 
Ukimsikiliza huyu professor Jeffrey,jamaa alikuwa anajua vita vyote vitakavyo tokea kuanzia Iraq,Libya,Afghanistan na hii ya Iran. Jamaa ni Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi, jamaa anamponda sana Netanyahu kwani anadai ndiye mastermind wa vita vyote hivyo.
FMSTAN_&_SPIDER_Global_meeting_in_Austrian_Foreign_Ministries_in_Vienna_(49120446508)_(cropped).jpg

Najua kuna watu hawamjui ila ni product ya Havard,kishaandika vitabu kibao na ameshakuwa mshauri wa Koffi Anan na Antonio Gutares.

Hatimaye alicho kitabiri kimetimia.
 
Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Raia wa TZ wana wakati mgumu kuliko wa Israel, kwasababu mtekaji wao na adui yao haonekani bali wa wayahudi wanamjua adui yao
 
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Israel anachokitafuta anakuja kukipata soon mataifa kama France na England yameonyesha kuchoshwa na vitendo vya Israel
 
Daah mwanangu ndege 200 ni nyingi sana kaka.
Jamaa alikua anakusudia nini kutumia ndege nyingi hivyo!??
Acha utoto! Wakati mwingine fikiri kabla ya kuandika. Sikusema mimi ni Aljazeera
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom