Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Watu walidhani Ziara ya Trump mashariki ya kati ni upuuzi.

HALI ILIVYO KWA SASA ISRAEL VS IRAN
1. Zaid ya drones 100 zilitumwa Israel kujibu mashambulizi ya ndege vita zilichoacha majanga makubwa ikiwemo kuuawa kwa mkuu wa jeshi na maafisa wengine wa kijeshi na taasisi nyeti ya Urani. Mpaka sasa Israel imefanikiwa kudungua drones nyingi na nyingi kati ya hizo zikidunguliwa nje ya anga la Israel.

2. Mfumo wa ulinzi wa anga kikanda
Jordan imeingilia na kupiga drones kadhaa zilizoingia katika anga lake.

Pia jeshi la anga la Israel na mifumo ya ulinzi ya washirika wake kutoka Marekani na Saud Arabia umehusika kudungua drone za Iran katika anga la Syria na Jordan na kuzuia zisifike Israel.

NINI KINAENDELEA
1. Drone nyingi zimeangamizwa kabla ya kufika anga la Israel .
2. Raia wanatakiwa kuwa katika hali ya tahadhali kubwa hadi pale hali ya usalama katika anga itakapokuwa shwari

NINI KINAWEZA KUFUATIA
1. Viongozi wa Iran wamedhamiria kulipa kisasi, hivyo mashambulizi zaidi yanaweza kuendelea
2. Anga la ukanda (Regional airspace- Israel, Jordan, Iraq) linaendelea kufungwa.
3. Kuna uwezekano wa makombora kurushwa au kutumwa kwa drone zingine kushambulia.

Ngoja tuone.
Hamna vita hapo , Israel kasukuma kete Iran ajibu then wamalize ....Iran anamuogopa US kwa sababu jamaa wako tayari kuwafuta wote....Israe nchi ukitumia Atomic ikapita basi italeta madhara makubwa sana kwa raia wote.
 
😂🤐
 
Matukio yaliyopita yalionyesha strenght ya Iran ni wapi na walitumia turufu yao ya proxies. Na Israel wakati inashambulia Hamas ikalazimisha kuichokoza Hezbollah, na wakati inashambulia Hezbollah ikalazimisha kuichokoza Houthi. Baada ya hiyo buffer ya Iran basi wamebaki Israel na Iran kuwa front wenyewe.
Rekebisha kauli yako hapo juu Israel haijawalazimisha magaidi wa Hezbollah kuishambulia bali wao walianza kuishambulia Israel OCT 08,2023 kuwaunga mkono magaidi wenzao wa Hamas vilevile na Houth hakuna aliyewalazimisha kuishambulia Israe. Ni wao tu kwa mapenzi yao waliamua kujitoa ufahamu
 
  • Thanks
Reactions: K11
Serikali ya Iran imeita kikao cha dharura, huenda vita kamili ikatangazwa na bei ya mafuta ikapanda maana Israel atahakikisha ile bandari haifanyi kazi
 
Naona mwisho wa dunia umekaribia tunapelekwa kwenye kyama cha dunia sasa,Namuona Yesu yulee anarudi kulichukua kanisa lake.
 
Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Ukisoma Biblia kitabu cha Wafalme na Joshua utaona Israel haijawahi kukaa muda mrefu bila kuingia vitani. Ni asili yao
 
Rekebisha kauli yako hapo juu Israel haijawalazimisha magaidi wa Hezbollah kuishambulia bali wao walianza kuishambulia Israel OCT 08,2023 kuwaunga mkono magaidi wenzao wa Hamas vilevile na Houth hakuna aliyewalazimisha kuishambulia Israe. Ni wao tu kwa mapenzi yao waliamua kujitoa ufahamu
Israel haijawahi anzisha vita. Ilikuwa inawatamani sana ila sababu inajua inachukiwa na kutafutiwa visa basi huwa inawarubuni wajinga washambulie wajione wanaweza, kisha inakuja kujifanya inajilinda.

Kwani pagers zilizowalipukia Hezbollah zilipandikizwa wakati wameanza mashambulizi? Walizituma muda mrefu wakasubiri in case lolote litatokea wazitumie. Hiyo Iran waliitafuta muda ila namna ya kuanzisha walishindwa international community ingewaita wachokozi. Sasa wana visingizio na sababu, Iran anasaidia maadui wake.
 
🇯🇴 / 🐀 At the request of the Zionist entity, the Jordanian army announces the interception of several drones en route to the occupied Palestinian Territories.

🔴@haqqintel
 
Vita sio siku Moja elewa Hilo,Bado Kuna kazi ya kufanya kaka.. shambulio la kuvizia amehadaiwa na mazungumzo fake huku Nyuma ya pazia watu wanamlia timing thank God vinu viko salama na hamjui viko wapi hivyo mabomu watayafyatua tuu
Hakuna vinu vitakavyokuwa salama israel imesema mashambulizi haya yatachukua mpaka Wiki mbili mpaka wahakikishe vinu vya kinuclear vyote viko taabani.

Kina kipindi niliwaambia Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilishaharibiwa baada ya shambulio la Israel huko Iran na ndiyo maana The Promise-3 walishindwa kuitekeleza maana walijua nchi iko uchi wa mnyama.

Leo hii imedhibitika wazi ndege za Israel wamejipigia tu popote wanapotaka wala hakuna wa kuwazuia maana hawana Air Defence Systems.

Napenda tu kuwapongeza Iran kwa KAMDOMO hawajambo wanaweza kukutisha sana kumbe hakuna kitu.@RD07
 
Shambulizi la 6 Shiraz huko

Israel kachafukwa, akimaliza anarudi badilisha marubani na kureload, kisha anapaa tena hadi wiki 2 ziishe.
Iran hataisahau hii siku na Netanyahu atabaki kwenye historia ya dunia kama Mbabe aliye wamaliza magaidi Hamas, Hezbollah, Houthis na Ayatollah
 
Hakuna vinu vitakavyokuwa salama israel imesema mashambulizi haya yatachukua mpaka Wiki mbili mpaka wahakikishe vinu vya kinuclear vyote viko taabani.

Kina kipindi niliwaambia Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilishaharibiwa baada ya shambulio la Israel huko Iran na ndiyo maana The Promise-3 walishindwa kuitekeleza maana walijua nchi iko uchi wa mnyama.

Leo hii imedhibitika wazi ndege za Israel wamejipigia tu popote wanapotaka wala hakuna wa kuwazuia maana hawana Air Defence Systems.

Napenda tu kuwapongeza Iran kwa KAMDOMO hawajambo wanaweza kukutisha sana kumbe hakuna kitu.@RD07

Shambulio la kigaidi Hilo Kama la Ukraine TU, vita sio wiki mbili bro.
 
Israel haijawahi anzisha vita. Ilikuwa inawatamani sana ila sababu inajua inachukiwa na kutafutiwa visa basi huwa inawarubuni wajinga washambulie wajione wanaweza, kisha inakuja kujifanya inajilinda.

Kwani pagers zilizowalipukia Hezbollah zilipandikizwa wakati wameanza mashambulizi? Walizituma muda mrefu wakasubiri in case lolote litatokea wazitumie. Hiyo Iran waliitafuta muda ila namna ya kuanzisha walishindwa international community ingewaita wachokozi. Sasa wana visingizio na sababu, Iran anasaidia maadui wake.
Huenda ripoti ya ile atomic agency kuwa Iran alipofikia kawa msiri sana huenda anatengeneza bomu.

Binafsi nimeshangazwa na video za Mossad ndani ya Iran wakitengeneza mazingira ya mashambulizi kwa kuharibu ADS na Launchers
 
Back
Top Bottom