Huwa mada ya Israel VS Iran ina ushabiki mwingi.
Matukio yaliyopita yalionyesha strenght ya Iran ni wapi na walitumia turufu yao ya proxies. Na Israel wakati inashambulia Hamas ikalazimisha kuichokoza Hezbollah, na wakati inashambulia Hezbollah ikalazimisha kuichokoza Houthi. Baada ya hiyo buffer ya Iran basi wamebaki Israel na Iran kuwa front wenyewe.
Kwenye head to head Israel vs Iran mshindi naamini lazima awe Israel. Sasa hivi hatutabishana, tutaona matokeo. Tulianza na wale waliosema Iran ana air defense systems nzuri, na ana Israel hawezi shambulia Iran hana airspace ya kupita.