Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel haijawahi anzisha vita. Ilikuwa inawatamani sana ila sababu inajua inachukiwa na kutafutiwa visa basi huwa inawarubuni wajinga washambulie wajione wanaweza, kisha inakuja kujifanya inajilinda.

Kwani pagers zilizowalipukia Hezbollah zilipandikizwa wakati wameanza mashambulizi? Walizituma muda mrefu wakasubiri in case lolote litatokea wazitumie. Hiyo Iran waliitafuta muda ila namna ya kuanzisha walishindwa international community ingewaita wachokozi. Sasa wana visingizio na sababu, Iran anasaidia maadui wake.
Kwa hiyo Israel imechokozwa na Iran ?
 
Shambulizi la 6 Shiraz huko

Israel kachafukwa, akimaliza anarudi badilisha marubani na kureload, kisha anapaa tena hadi wiki 2 ziishe.
Iran hataisahau hii siku na Netanyahu atabaki kwenye historia ya dunia kama Mbabe aliye wamaliza magaidi Hamas, Hezbollah, Houthis na Ayatollah
Vita haipiganwi siku moja.

Baada ya Ukraine kufanya shambulizi la kushitukiza ndani ya Russia kipi kimebadilika kwao ?
 
Iran kwa sasa haelewi nini afanye na nini asifanye maana zile ballistic missile systems zote zilizoluwa zimeelekezwa Israel zimeharibiwa, defence system zimeharibiwa, wakuu wao wameuliwa. Kwa sasa yupo tu
Usiseme hawaelewi cha kufanya tuupe muda nafasi japo natambua vita siku zote sio ya siku moja
 
Shambulio la kigaidi Hilo Kama la Ukraine TU, vita sio wiki mbili bro.
Cha kushangaza sasa hao ndugu zako Iran mpaka sisi wajinga tukapata habari kuwa Iran atashambuliwa ndani ya Wiki hii yeye na kikosi chake cha ujasusi hawakushtuka tu!? Mpaka watu wanapiga jaramba kuja kukushambulia hashtuki tu mpaka leo kapigwa kipigo cha Mbwa-mbwa kachora ndiyo ,anashtuka.

Iran hana Jeshi Ila KAMDOMO ndiyo anako kakutisha watu wamuogope!!!
 
Baba wa uovu, baada ya kupewa dollar trion 4 na waarabu.

⚡️🇺🇸🇮🇱🇮🇷 Trump: The next planned attacks are even more brutal. Iran should make a deal before there’s nothing left — and save what was once known as the Iranian Empire.

@wfwitness
 
Iran anawaunga mkono Houthi, ambao wanapingwa na Saudi Arabia.

Iran inaongozwa na mapinduzi ya Kiislamu ambavyo inatamani kueneza tabia hiyo kwa nchi nyinginezo za Kiarabu suala ambalo tawala za Kiarabu na intelligence services zao hawataki.

Pia Iran haina faida kiuchumi, kukosana na Israel ambayo ina faida kiuchumi na kiteknolojia ni hasara ukizingatia Israel haina muda na mambo binafsi ya Waarabu endapo hawaingilii usalama wake. Iran yeye anataka sera zake na awe superpower pale ME. Pia Iran anasimama kama mlinzi wa Washia mfano ndani ya Iraq.
Lini Iran ilisema inataka kuwa superpower pale ME ?
 
Huwa mada ya Israel VS Iran ina ushabiki mwingi.

Matukio yaliyopita yalionyesha strenght ya Iran ni wapi na walitumia turufu yao ya proxies. Na Israel wakati inashambulia Hamas ikalazimisha kuichokoza Hezbollah, na wakati inashambulia Hezbollah ikalazimisha kuichokoza Houthi. Baada ya hiyo buffer ya Iran basi wamebaki Israel na Iran kuwa front wenyewe.

Kwenye head to head Israel vs Iran mshindi naamini lazima awe Israel. Sasa hivi hatutabishana, tutaona matokeo. Tulianza na wale waliosema Iran ana air defense systems nzuri, na ana Israel hawezi shambulia Iran hana airspace ya kupita.
Shambulio la leo la Israel lina tofauti gani na alilofanya Ukraine kwa Russia siku kadhaa zilizopita ?
 
Vita haipiganwi siku moja.

Baada ya Ukraine kufanya shambulizi la kushitukiza ndani ya Russia kipi kimebadilika kwao ?
Uzuri kawambia ukweli kuwa Israel anajua kuzitumia na huenda wanataka regime change
Baba wa uovu, baada ya kupewa dollar trion 4 na waarabu.

⚡️🇺🇸🇮🇱🇮🇷 Trump: The next planned attacks are even more brutal. Iran should make a deal before there’s nothing left — and save what was once known as the Iranian Empire.

@wfwitness
 
Yaani anapiga popote akijisikia, japo najua anapata nguvu ya USA pia. Ila kuzungukwa na muarabu kwake ni changamoto sana, atakuwa anapigana nao hadi kiama....Waarabu na Persians watawasumbua sana.
Hamna waarabu watakaomsumbua Israel, Saudi Arabia ambao ni super power pia hapo Middle East ndio marafiki wakubwa wa Israel, mwingine ni Egypt nae ni swahiba mkubwa wa Israel. Jordan ndio hao wameshirikiana na Israel kudaka hayo makombora ya Iran. Hapo Iran ndio aliebaki kuonja kichapo, na Israel alijipanga kuvimaliza kwanza vidagaa vinavyopigana guerilla war Hezbollah, Hamas na Hoauthi ili abaki Iran wapambane nae uso kwa uso. Hii " Operation Rising Lion " ni mpango wa kumfanya Iran kua joka la kibisa, kummaliza nguvu yote aliokua nayo.
 
20250613_131144.jpg
 
Back
Top Bottom