Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Baba wa uovu, baada ya kupewa dollar trion 4 na waarabu.

⚡️🇺🇸🇮🇱🇮🇷 Trump: The next planned attacks are even more brutal. Iran should make a deal before there’s nothing left — and save what was once known as the Iranian Empire.

@wfwitness
Alichosema ni ukweli, uzuri amewaambia mapema kabla hawajachelewa
 
Huo sasa ni uchokozi!

Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Sababu zipo, ukisikia jambazi anakusanya silaha ili siku moja akuvamie utafanyaje?
Unaweka plant za nyuklia hadharani vile halaf una mifumo dhaifu ya kiulinzi km
ni kweli iran hawana backup ,,basi Israel intelligensia yao iko vzur
Ndani kabisa ya idara nyeti na baadhi ya makamanda wa Iran ni mawakala wa MOSSAD ndio maana hata mashambulizi yao ni yenye matokeo sahihi sana. Kila wanaposhambulia ni kwa usahihi sana
 
Alichosema ni ukweli, uzuri amewaambia mapema kabla hawajachelewa
Iran hawawezi kukubali dili ya US ya kitapeli, wajiandae mafuta hayatashikika route za baharini zitafungwa ni suala LA muda
 
Cha kushangaza sasa hao ndugu zako Iran mpaka sisi wajinga tukapata habari kuwa Iran atashambuliwa ndani ya Wiki hii yeye na kikosi chake cha ujasusi hawakushtuka tu!? Mpaka watu wanapiga jaramba kuja kukushambulia hashtuki tu mpaka leo kapigwa kipigo cha Mbwa-mbwa kachora ndiyo ,anashtuka.

Iran hana Jeshi Ila KAMDOMO ndiyo anako kakutisha watu wamuogope!!!
Echolima1 tulishawaambia kobaaz hapa kuwa Iran atapokea mkong'oto wa mbwa mwizi Kobaaz wakabisha sana. kiko wapi sasa! hakuna taifa duniani litakaloweza kuimaliza Israel kamwe halipo na bado huyu mpuuzi russia naye atajaa kwenye mfumo gogu wa magogu shetani ibilisi
 
Endeleeni kuwasifia hao wavaa kobazi air defense system zao zinapelekewa moto sijui watajilinda vii na mashambulizi yajayo
 
Yes wanapiga now inasemekana kwa sasa wanapiga nchi yote kila military base.
Netanyahu keshasema zoezi litachukua wiki 2 na ni endelevu.
Hadi sasa Iran kafanikiwa rusha drone 100 pekee
Mbona patamu sana aese. Hawa wavaa Kobazi na Allah wao watajuta maana uwezo hawana,maarifa hawana na kwa bahati mbaya ni Wanafiki wakubwa.
 
Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran

Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran

Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya Irani huku ikilenga maeneo muhimu na viongozi katika mji wa Tehran.

Shirika la Habari la Tasnim la Iran limesema kuwa Mkuu wa Baraza la Mapinduzi la Kiislam la Iran(IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami(wa kwanza pichani) amepoteza maisha katika mashambulizi ya Israeli.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mbunge na Mwanasayansi Fereydoun Abbasi(wa pili pichani)na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Azad na Mwanafizikia wa Nyuklia Mohammad Mehdi Tehranchi(wa tatu pichani) ni miongoni mwa waliouwa na shambulizi hilo

Huku taarifa hiyo ikiongeza kuwa Jenerali Gholamali Rashid, Kamanda wa Makao Makuu ya Khatam Al-Anbiya ya IRGC, pia akielezwa kufariki katika mashambulizi hayo.

Mashambulizi ya Israel yameonekana kulenga watu muhimu katika taifa hilo huku Israel ikieleza kuwa bado itaendelea kujiimarisha kinyuklia hata kama vinu vyake vitaathirika.

Kwa mujibu wa televisheni ya serikali ya Iran, Mkuu wa majeshi jenerali Mohammad Bagheri na mkuu wa Kikosi Maalum cha Walinzi Mapinduzi, Meja Jenerali Hossein Salami, ni miongoni mwa waliouawa katika mashambulizi ya Israel ya Ijumaa.

========================


The Israeli military has carried out several strikes targeting Iran’s nuclear facilities and military sites in and around the country’s capital, Tehran, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said.

In a prerecorded video message posted early Friday morning, Netanyahu said the strikes were aimed at hurting Iran’s nuclear infrastructure and ballistic missile factories.

“This operation will take as long as is needed to complete the task of fending off the threat of annihilation against us,” Netanyahu said.

An unnamed Israeli military official told the Reuters news agency that Israel struck “dozens” of nuclear and military targets early on Friday.

Iranian state-run news agency, Nour News, said several “loud explosions” have been reported in and around Iran’s capital. It added that Iran’s air defence system is on full alert, and all flights at Imam Khomeini international airport have been suspended.

The Israeli military also confirmed to The Times of Israel newspaper it had “launched an aerial campaign against Iran’s nuclear programme” in an operation dubbed “Nation of Lions”. The source told the outlet it needed to act against the “imminent threat” posed by Iran.

Iranian state-run media outlet Press TV confirmed that there have been several casualties, without providing a number.

An unnamed Israeli defence official said the strikes have likely killed members of Iran’s general staff, including the chief of staff and several senior nuclear scientists.

Iran supreme leader says Israel will receive 'bitter fate'​

Iran supreme leader, Ayatollah Ali Khamenei, says the attacks reveal Israel's "vile nature, Reuters reports, and that with this attack Israel "has prepared a bitter fate for itself, which it will surely receive."

Israel braces for Iran's response​

Early reports suggest ‘Operation Rising Lion’ has dealt a significant blow to Iran, with dozens of strikes across the country reportedly killing several senior Iranian military figures and nuclear scientists.

Here in Israel, we were woken up at around 03:00 (01:00 BST) by a burst of sirens followed by a phone alert, warning us of a “significant threat” and instructing us to stay close to a shelter.

Now, the whole country is waiting to see what Iran's response will be.

Clues to that may lie in the last few times the two nations have taken military actions against each other.

Last April, Iran launched about 300 missiles and drones at Israel, which Israel responded to with a “limited” strike on a missile defence system.

Over the following months, Israel went on to assassinate several leading figures from Iranian proxy groups across the region, including Hamas and Hezbollah.

Iran hit back in October by launching about 180 ballistic missiles at Israel - which responded with a series of “targeted” strikes on Iranian military facilities.

Kuna wa-Israel wengi sana ndani ya nchi ya Iran, lakini kuna wa-Iran wachache Sana ndani ya Israel.

Aidha, pia kuna Wapiganaji wengi sana wa Israel ndani ya Majeshi ya Iran, lakini hakuna Wapiganaji wa Iran ndani ya Majeshi ya Israel.

Kwa hiyo, Iran itawawia vigumu Sana kupata ushindi katika Vita hii. Israel tayari ina mtaji mkubwa sana wa kushinda Vita kwa sababu ina Mamluki wake wengi sana ndani ya Majeshi ya nchi ya Iran. Vile vile, ndani ya nchi hiyo ya Iran tayari kuna mpasuko, migawanyiko na mifarakano mingi Sana ya kijamii kati ya Watawala wa Nchi hiyo ya Iran na Wananchi wao. Ndani ya Iran hakuna Utangamano wa kijamii.
 
Back
Top Bottom