Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Echolima1 tulishawaambia kobaaz hapa kuwa Iran atapokea mkong'oto wa mbwa mwizi Kobaaz wakabisha sana. kiko wapi sasa! hakuna taifa duniani litakaloweza kuimaliza Israel kamwe halipo na bado huyu mpuuzi russia naye atajaa kwenye mfumo gogu wa magogu shetani ibilisi
Hahah hapo kazi kweli kweli maana Itakuwa unabii umetimia sasa. Israel akitoka hapo anaenda kuvunja Msikiti wa Alakhsar pale ukingo wa Magharibi
 
Hahah hapo kazi kweli kweli maana Itakuwa unabii umetimia sasa. Israel akitoka hapo anaenda kuvunja Msikiti wa Alakhsar pale ukingo wa Magharibi
Watu huwa wanafikiri habari za Israel na unabii wa siku za mwisho tunaoandikaga humu huwa tunaandika kimahaba. Na yako mengi mazito mnooooo yanakuja duniani
 
Huo sasa ni uchokozi!

Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Sahihi kabisa... This time I hate and condemn Israel.... Kwa issue ya HAMAS nilikuwa upande wa Israel, siyo sasa... A big mess 😞 😞
 
Yes wanapiga now inasemekana kwa sasa wanapiga nchi yote kila military base.
Netanyahu keshasema zoezi litachukua wiki 2 na ni endelevu.
Hadi sasa Iran kafanikiwa rusha drone 100 pekee
Wataharibu majengo ya juu tu.
Ila vifaa viko underground hawataweza kuvifikia na kuviharibu.
 
Nchi za kiarabu zinaonelewa sana na wazungu. Laiti kama zingekuwa na umoja wa kijeshi kama walionao nchi za ulaya(NATO) kusingelikuwa na uchokozi kama huu. Lakini kwa kukosa kwao umoja, nchi za kiarabu zimekuwa kama kundi la nyumbu ambao hata wakimwona mwenzao anashambuliwa na fisi tu hawawezi kumtetea au kumuokoa. Rejea zilivyofanywa Iraq, Libya, nk.
Mkuu tatizo sio umoja tatizo ni akili

Takwimu zinasema waarabu na ngozi nyeusi ndio mijitu yenye low iq

Kwhiyo ukimuona mwarabu ni bora wewe mwafrika

😁😁
 
Sahihi kabisa... This time I hate and condemn Israel.... Kwa issue ya HAMAS nilikuwa upande wa Israel, siyo sasa... A big mess 😞 😞
Adui yako anapanga kukufuta kwenye uso wa dunia utachukua hatua gani? Na kila siku unamuona anajiimalisha
Ungekuwa wewe usingejihami ungemwachia Mungu? Jiran Amewezesha makundi ambayo yanakushambulia kila siku na sasa yupo kwenye harakati za kumiliki silaha za nyukria ungesubil?
 
Back
Top Bottom