Kuanzia usiku wa kuamkia ijumaa hadi ijumaa yenyewe ya leo imeshuhudiwa mashambulizi makali ambayo hayakutegemewa ya Israel dhidi ya Iran.
Na kwa asilimia kubwa malengo ya Israel ndani ya Iran yamefikiwa.
Japo ripoti kutoka Tehran zinasema kuwa mitambo ya nuclear iko salama pamoja na hifadhi ya makombora.
Wapo wanaosema kuwa Iran imemalizwa haina cha kufanywa.
Jibu ni HAPANA.
Hii ni vita Israel ameianzisha tutarajie majibu kutoka Iran yatakuwaje na yatajibiwa lini.