ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Kwa hili pigo ni razima ujipange kwanza ndo ujibu sio kukurupuka mkuu.Yawezekana Iran yupo overrated sana huwezi tandikwa kizembe vile
Japo kuwa kulikuwa na tetesi nyingi juu ya shambulizi hili lakini sidhani kama viongozi wa Iran walitarajia kama lingekuwa liko karibu namna hii.
Israel yenyewe ilichukua siku mbili kuanza kujibu mapigo baada ya shambulizi la hamas October 7.