Acha wakaswali kwanzaHakuna lolte Mkuu ni makelele tu ya Waajemi. Isreal ni akili kubwa sana na kuna wajinga humu wanadai eti Israel inasaidiwa na Wamarerani. Hawajui kuwa Israel ndo inaiendesha Marekani hata technolojia nyingi wavumbuzi ni Waisrael.
USISEME NI MIMI, ANGALIA MWENYEWE.👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇Nimecheka wao ndio wamekianzisha afu wana wasi wasi kweli na kipigo cha Iran. Wanajidai eti wamewauwa viongozi wa Iran wengi kweli hivi unamimini hayo hahaha
Magaidi ni nani? Mbona yule gaidi aliyepindua Syria ametambulika na USA na Israel? Au wale RSF wa Sudan ni magaidi au sio magaidi?Ili kudhibiti mtandao wa magaidi Mashariki ya Kati ni muhimu kumpiga pini sponsa wao.
Dunia bila ugaidi inawezekana
Nakujuza tu, wala sisomi hizo takataka unazohangaika kuzi- post hapa kwa sababu ni
💩💩💩💩💩💩💩💩
💩💩💩💩💩💩💩💩
💩💩💩💩💩💩💩💩
💩💩💩💩💩💩💩💩
💩💩💩💩💩💩💩💩
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
💩💩💩💩💩💩💩💩Kikobaz kinajifariji na huku kimevaa kipedo na kusugua makalio. Israel imewatia dole gumba. Endeleeni kuinama
Ujinga mtupu eti asubiri majibu!! Niliwaambia Makende Lea kushupaza mafuvu yenu. Israel si ya kutishiwa nyau.Subiri majibu..
Usitake kukwepesha mada wewe !!! Iran amepigwa kipigo cha Mbwa-koko mpaka sasa hakuna majibu Drones zote alizozituma zimepopolewa zote!!! Kumbe mlikuwa mna Sofia Dębe tupu!!Hapa kuna kitu kinafichwa...hizi sababu za kumpiga IRAN sio za kweli...labda kakataa kuuza Nuclear
Tulia dogo huyo ni shoga ako US, Israel hana ubavu bila bwanaake nasasa hawaelewi ata vinu muhimu viko wapi wameishia kupiga makazi ya viongozi, yaan Iran fala vinu avianike Kama maembeUjinga mtupu eti asubiri majibu!! Niliwaambia Makende Lea kushupaza mafuvu yenu. Israel si ya kutishiwa nyau.
Iran hana ubavu wa kupigana na Israel angalia hata hizo Drones 100 alizozituma kwenda Israel zote zimepopolewa Iran hana ujanja tena mlimsifia mno kumbe hana kitu amepigwa kama mtoto mdogo Yale Yale ya Hezbollah mliwasifia mpaka mkapitiliza lakini ISRAEL ilipoamua magaidi hao Waliangukia pua. gTurn RD07
Waajemi vichwa maji tu. Unajua teknolojia ya GPS na mambo ya navigation Israel ni mabingwa wakubwa sana na waanzilishi wa mambo hayo.Israeli ,Israel , Israel ni next level
Mkuu wa majeshi wa iran kaenda kibrq
Kabisa yaniHata mimi nasema wapigweee Ili ugaidi upungue na dunia iwe na amani
Hawa jamaa ni watu wengine kabisa,nchi ndogo lakini ni hatari zaidi ya neno hatariWaajemi vichwa maji tu. Unajua teknolojia ya GPS na mambo ya navigation Israel ni mabingwa wakubwa sana na waanzilishi wa mambo hayo.
Unatafuta engagement kwa kukazhifu Imani za watu una akili kweli wewe💩💩💩💩💩💩💩💩
💩💩💩💩💩💩💩💩
💩💩💩💩💩💩💩💩
💩💩💩💩💩💩💩💩
💩💩💩💩💩💩💩💩
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮