Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Hio ni kawaida makosa waliamini US yuko kwenye mazungumzo nao hakuna vita vitatokea mpaa mazungumzo ya failed, ni US ndio katumia hio siasa kuwambia Iran hakuna litakalo tokea mpaa mazungumzo ya failed. Sa leo unadhani Iran atakubali tena ujinga wa USA.

Mkuu uko right kabisa, yale mazungumzo ilikuwa Kanyaboya tu, Iran walitulia wakijua wazi baada ya matokeo ya mazungumzo, ndi Israel inaweza kuanzisha Vita....Marekani wanahusika kabisa!
 
🇮🇱🇮🇷The Iranian army was rendered "blind, deaf and dumb" by the Israeli strike due to a massive cyber attack on the country's defense system, military observers at Bild suggest.

Apparently, Israel managed to disable Iranian radars until the morning, which is why the Iranian Air Force, which took off, simply did not see the targets. Strikes were recorded from only one Iranian air defense base.

"Hundreds of Iranian officers and pilots did not even know that anything was happening. This points to a massive cyberattack using electronic warfare, which probably began as the Israeli planes were taking off," the publication writes.

In addition, Israel apparently disabled communications between various air defense units and private communications systems - mobile phones, radios and pagers. Neither SMS, WhatsApp nor phone calls warned the attacked targets of the upcoming Israeli strike.
 
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Security source: The Iranians are trying to start launching surface to surface missiles and are not succeeding because we have seriously damaged their chain of command:
People ask how it is that Iran has failed to carry out a single successful attack against Israel. Here is the explanation:

In the attack on General Amir Hajizadeh, the commander of the IRGC's Air and Space Forces, 20 senior commanders of the Air Force were also eliminated. The entire top military command responsible for launching ballistic missiles, cruise missiles, submarines, and air defense - they all evaporated together while they were in a secret meeting.
 
Mbona Nuclear facilities hazikuguswa mpaa mda huu anarusha Missiles hajui target zipo wapi yale yale ya Yemen
WHERE DID ISRAEL STRIKE IRAN?

The IDF launched the large-scale Operation Rising Lion targeting Iranian military assets and nuclear facilities. At least 100 sites across eight provinces in Iran were hit, preliminary reports say.

Iran has vowed retaliation will come swiftly.

20250613_185119.jpg
 
Kwenye maisha yako kila siku hakuna mtu hatari na kuwa naye makini kama mtu asiye ongea yeye kazi yake kusikiliza wengine wanaongea nini na yeye kuchangia mwishoni tena kukubali na wengine wameongea nini.

Wanasema mtu mkimya akiwa anawaza huwa anawaza vitu viwili, atakula nini au atazika wapi mwili, Israel ndio ilichomfanyia Iran, Israel amekuwa anajidai hakuna kitu anaweza kumfanya Iran, analalamika jinsi Iran anavosaidia waasi na makundi mengine, Iran akawa anachukulia poa na kupuuza Israel anachoweza kufanya, kumbe Israel yeye anataka kufanya kweli na amekusudia.

Kitendo cha Israel kuwashambulia viongozi wa Jeshi na wanasayansi wakiwa wamelala ni dhahiri kuwa wamekusudia kwenda mbali sana
 
Zekaria 12:2-3
[2]Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.

[3]Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.
 
Zekaria 12:2-3
[2]Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.

[3]Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.
Kumbe mnamini jiwe afu mnasema sisi ndio tunabudu jiwe hahaha.

We peleka hio bibilia yako kanisani hicho sio kitabu cha Mungu ni kitabu cha Paulo.
 
Zekaria 12:6,8-9
[6]Siku hiyo nitawafanya wakuu wa Yuda kuwa kama kigae chenye moto katika kuni, na kama kinga cha moto katika miganda; nao watateketeza watu wa kila kabila, wawazungukao pande zote, upande wa mkono wa kuume na upande wa mkono wa kushoto; na baada ya haya Yerusalemu utakaa mahali pake, naam, hapo Yerusalemu.

[8]Katika siku hiyo BWANA atawalinda wenyeji wa Yerusalemu; na yeye aliye dhaifu miongoni mwao atakuwa kama Daudi siku hiyo; nayo nyumba ya Daudi itakuwa kama Mungu, kama malaika wa BWANA mbele yao.

[9]Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitatafuta kuwaangamiza mataifa yote watakaokuja kupigana na Yerusalemu.
.
 
Kumbe mnamini jiwe afu mnasema sisi ndio tunabudu jiwe hahaha.

We peleka hio bibilia yako kanisani hicho sio kitabu cha Mungu ni kitabu cha Paulo.
Endelea kujipumbaza.
Wakati unaona unabii ukitimia mbele yako,
 
Mkuu uko right kabisa, yale mazungumzo ilikuwa Kanyaboya tu, Iran walitulia wakijua wazi baada ya matokeo ya mazungumzo, ndi Israel inaweza kuanzisha Vita....Marekani wanahusika kabisa!
Any way tusubiri Israel anadai kisha wamaliza viongozi wote wanao husika na Missiles hivyo Iran hana uwezo wa kurusha Missiles tena ikiwa maneno yao kweli tutajua mpaa kesho au bada ya week.
 
Back
Top Bottom