Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Tatizo pia vijana wengi wa iran wanataka maisha ya kisasa hawataki mambo ya ufia dini kwa hiyo ni rahisi utawala wa ayatollah kuanguka
Binafsi Nina imani utawala huu wa Kidini wa Ayatollah ukiangua Iran itakuwa Mahala Bora zaidi pa kuishi Kwa uhuru kuliko Sasa. Katika ulimwengu wa Sasa tawala za Kidini zimepitwa na wakati.
 
Jamaa wanapiga hata kama ulikuwa bar..Pale alipo mwana Intellejinsia akisema kuna jamaa anakunywa supu hapa Goba ana file la Nuclear..😀😀😀wanashusha mzigo.

Jamaa wa Mburahati naye akisema kuna Mjomba yupo hapa anakula pilau wanashusha mzigo.

Mwingine akisema kuna jamaa yupo Kinondoni Ponjolo ,,,wanashusha mzigo.

Imeniumiza sana kwa hili.😀😀😀

Pole sana Mkuu...

List of prominent nuclear scientists killed​

Fereydoun Abbasi – Former head of Iran's Atomic Energy Organization and a member of Parliament.

Mohammad Mehdi Tehranchi – Theoretical physicist and former rector of Shahid Beheshti University.

Abdulhamid Minouchehr – Nuclear scientist.

Ahmadreza Zolfaghari – Nuclear scientist.

Seyyed Amirhossein Faqhi – Nuclear scientist.

Motlabizadeh – Nuclear scientist.


List of senior military leaders among the dead: ​

The airstrikes also resulted in the deaths of several high-ranking Iranian military officials:

Major General Mohammad Bagheri – Chief of Staff of the Iranian Armed Forces.

Major General Hossein Salami – Commander-in-Chief of the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).

Major General Gholam Ali Rashid – Commander of the Khatam-al Anbiya
 
Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.

Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.

Any wa Iran atalipa tu time itaongea.
Pole sana itakua vyema ukasimame fronti uwasaidie Iran kukinga mabomu yanayokuja kwao hivi Sasa...ndio ntaona una uchungu sana
 
Jamaa wanapiga hata kama ulikuwa bar..Pale alipo mwana Intellejinsia akisema kuna jamaa anakunywa supu hapa Goba ana file la Nuclear..😀😀😀wanashusha mzigo.

Jamaa wa Mburahati naye akisema kuna Mjomba yupo hapa anakula pilau wanashusha mzigo.

Mwingine akisema kuna jamaa yupo Kinondoni Ponjolo ,,,wanashusha mzigo.

Imeniumiza sana kwa hili.😀😀😀
Duuh! Hapo kwenye ponjolo wa kinondoni umeongezea maisha. Nimecheka kwenye SGR yetu pendwa kama vile nipo mwenyewe.
 
Pole sana Mkuu...

List of prominent nuclear scientists killed​

Fereydoun Abbasi – Former head of Iran's Atomic Energy Organization and a member of Parliament.

Mohammad Mehdi Tehranchi – Theoretical physicist and former rector of Shahid Beheshti University.

Abdulhamid Minouchehr – Nuclear scientist.

Ahmadreza Zolfaghari – Nuclear scientist.

Seyyed Amirhossein Faqhi – Nuclear scientist.

Motlabizadeh – Nuclear scientist.


List of senior military leaders among the dead: ​

The airstrikes also resulted in the deaths of several high-ranking Iranian military officials:

Major General Mohammad Bagheri – Chief of Staff of the Iranian Armed Forces.

Major General Hossein Salami – Commander-in-Chief of the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).

Major General Gholam Ali Rashid – Commander of the Khatam-al Anbiya
Wataua mwili,lkn hawataua fikra zao,ndo maana wengine wanaendelea kuzaliwa nakusoma.
 
Tusubiri na majibu ya Iran.
Yapi Mkuu...?

Kama hata General Mkuu kafa....

1749826623533.png


Iran has confirmed the death of General Amir Ali Hajizadeh in the Israeli strikes overnight as the tensions continue between the two nations, AP reported. On June 13, Israel had launched airstrikes targeting key Iranian nuclear and military sites.
 
Mbona Nuclear facilities hazikuguswa mpaa mda huu anarusha Missiles hajui target zipo wapi yale yale ya Yemen
Labda akiguswa Ayatollah ndio utakubali site zimeguswa.

Sema sheria za vita haziruhusu kupiga makazi ya kiongozi mkuu wa nchi.
 
mbona mi sijawahi kusikia kuwa wapalestina wameathirika na makombora yaliyorushwa na Iran?

na kama Kuna hiyo taarifa basi ni yauongo wa Israel.

sema changamoto kubwa nikuwa hatupati taarifa za ukweli, taarifa nying zinapikwa Kwa wanufaa ila nikuambie kitu Hawa wa Israel wanaathriwa vibaya saana na hivi vita.

subiri kitakachotokea kwa Iran alafu tujadili vizuri
Tatizo vyombo vya habari unavyofatilia haviripoti taarifa zinazotoa aibu majeshi ya Iran

shambulio la 1 October 2024 Iran walirusha zaidi ya makombora 200, kulikuwa na kifo kimoja tu cha mpalestina alieangukiwa na kombora akiwa west bank upande wa Palestina


Israel hawakujibi kwa makombora walituma marubani tena wa kike kudungua targets kwa ufasaha, askari wanne wa Iran walipotezwa, viwanda vya silaha viliharibiwa, mifumo ya ulinzi haikuweza kufanya lolote
 
Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.

Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.

Any wa Iran atalipa tu time itaongea.
Umeandika kwa masikitiko na hisia sana. Kifupi kwa leo, mpirani keshaelekea kibra iliyobakia ni shehe Israel asema takbir na amalize kazi.
 
Back
Top Bottom