MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hilo ndio handaki wanapigiaga picha
Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.
Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.
Any wa Iran atalipa tu time itaongea.
Watu zaidi ya 78 wamefariki kati yao ni viongozi wa ngazi za juu serikalini. Watu takribani 330 pia wamejeruhiwa.
Israel imekwepa kushambulia vituo vya kuzalisha umeme na huduma muhimu za binadamu.
Imelenga zaidi miundombinu ya kijeshi na vituo vya nyuklia na baadhi ya makazi ya viongozi
Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.
Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.
Any wa Iran atalipa tu time itaongea.
😄😄😄Netanyahu lazima aongezwe kwenye Biblia
Leo Wayahudi wametoka mafichoni kwa furaha sana kama vile Waajemi walivyo furahi kwenye True promise 2 ,let's wait and see .....?
Lkn Iran kutamka hivyo na kusapoti hivyo vikundi kuna sababu, haiwezekani akazua tu from no where,,hiyo piga nikupige,kuna aliyeanza kumpiga mwenzake bila sababu,aliyemuanza mwenzake ni yupi?? ,,Hilo la mhimu kujua,tuweke chuki pembeni.Iran aliapa kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, alianza kwa kusapoti makundi ya kigaidi matatu ambayo ni Hamas, Al Fatah na Hezbollah kuipiga Israel na wakati huo akitengeneza bomu la nuclear kuipiga Israel, usalama wa Israel uko kwa kuidhibiti Iran aliyeapa kuiharibu Israel, hilo ndio analofanya Israel kwa sasa.
Mr Devil....Poleni sana...
List of prominent nuclear scientists killed
Fereydoun Abbasi – Former head of Iran's Atomic Energy Organization and a member of Parliament.
Mohammad Mehdi Tehranchi – Theoretical physicist and former rector of Shahid Beheshti University.
Abdulhamid Minouchehr – Nuclear scientist.
Ahmadreza Zolfaghari – Nuclear scientist.
Seyyed Amirhossein Faqhi – Nuclear scientist.
Motlabizadeh – Nuclear scientist.
List of senior military leaders among the dead:
The airstrikes also resulted in the deaths of several high-ranking Iranian military officials:
Major General Mohammad Bagheri – Chief of Staff of the Iranian Armed Forces.
Major General Hossein Salami – Commander-in-Chief of the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).
Major General Gholam Ali Rashid – Commander of the Khatam-al Anbiya
More than normal Mkuu....!Are you normal?
mahaba unayaleta wewe najua ninachoandika nilisema hapa Iran itakungu'twa na imetokea. Kasome kitabu cha nabii Ezekieli ujifunze kuhusu vita vya Gogu na Magogu.Russia ni dude lingine basi..punguza mahaba.....
Lkn Iran kutamka hivyo na kusapoti hivyo vikundi kuna sababu, haiwezekani akazua tu from no where,,hiyo piga nikupige,kuna aliyeanza kumpiga mwenzake bila sababu,aliyemuanza mwenzake ni yupi?? ,,Hilo la mhimu kujua,tuweke chuki pembeni.
Mashabiki wa iran wako wapi mbona siwaoni
Tatizo pia vijana wengi wa iran wanataka maisha ya kisasa hawataki mambo ya ufia dini kwa hiyo ni rahisi utawala wa ayatollah kuangukaInasikitisha kuona Mossad wametapakaa kwenye site karibu zote za kurushia makombora ya Iran. Iran ikijibu inajimaliza yenyewe ikifuatiwa na mapinduzi ya kijeshi
Swali liko pale pale, kwanini ilitamka hivyo? Toka wakati huo,ipi sababu???Mkuu, toka Iran ifanye Mapinduzi yake 1979....Ina kauli mbiu moja tu, Kuifuta Israel chini ya jua....Sasa unataka ifanyaje?