Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Mossad akishirikiana na IDF kwa siri walijenga kituo cha Drones ndani ya Iran karibu na Tehran kikiwa na kazi ya kutungua na kuharibu mifumo na makombora yote yatakayorushwa kutoka Iran kwenda Israel, hivyo makombora kutoka Iran kwenda Israel yalidunguliwa yote kuanzia ndani ya Iran kwenyewe
Sema round ya kwanza Iran wamekula kichapo sana, alafu tofauti ya Israel na Iran, Israel wao huwa hawachezei Silaha zao wako serious
 
Ukraine alikuwa akitangaza ana ua mageneral wa Russia kila siku mwanzo wa vita lakini mpaka leo Russia bado yupo ndani ya nchi ya Ukraine.

Ubaya wa vita upo tofauti na unavyo fikiriwa na wengi hum

Haku wakuu wa jeshi la Russia wali uliwa na Ukraine. Ila majenerali wengi waliuawa no wonder Russia so far mwaka wa 3 kashindwa kuipiga Ukraine. Case ya Iran is different usiku1 wakuu wa4 wa majeshi wanauawa!!! Udhaifu mkubwa sana kimkakati
 
Tusubiri na majibu ya Iran.
Unasubiri nini Mkuu....Itwachukua muda....Unajua Idadi ya Makamanda wakubwa walio uawa?

1749823708168.png

Gen Hossein Salami kisha tangulizwa Mbele ya Haki....
 
Watu zaidi ya 78 wamefariki kati yao ni viongozi wa ngazi za juu serikalini. Watu takribani 330 pia wamejeruhiwa.

Israel imekwepa kushambulia vituo vya kuzalisha umeme na huduma muhimu za binadamu.

Imelenga zaidi miundombinu ya kijeshi na vituo vya nyuklia na baadhi ya makazi ya viongozi
 
Ukraine alikuwa akitangaza ana ua mageneral wa Russia kila siku mwanzo wa vita lakini mpaka leo Russia bado yupo ndani ya nchi ya Ukraine.

Ubaya wa vita upo tofauti na unavyo fikiriwa na wengi humu
Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.

Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.

Any wa Iran atalipa tu time itaongea.
 
Daaah, imekuwa hivyo tena.

Basi tusubiri kama Promise 3
 
Echolima1 tulishawaambia kobaaz hapa kuwa Iran atapokea mkong'oto wa mbwa mwizi Kobaaz wakabisha sana. kiko wapi sasa! hakuna taifa duniani litakaloweza kuimaliza Israel kamwe halipo na bado huyu mpuuzi russia naye atajaa kwenye mfumo gogu wa magogu shetani ibilisi
Russia ni dude lingine basi..punguza mahaba.....
 
Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.

Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.

Any wa Iran atalipa tu time itaongea.

Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.

Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.

Any wa Iran atalipa tu time itaongea.

Iran says Israel’s strikes on its nuclear facilities are a ‘declaration of war’ as Trump warns of ‘even more brutal attacks’ to come – live​

Israeli strikes have hit more than 100 major targets in Iran, including nuclear facilities and missile sites, and killed senior military commanders and scientists in what Tehran said was a “declaration of war”.

As Israeli officials indicated the strikes were the first phase of a larger operation, Donald Trump described the attack as “excellent” and warned further strikes would be more brutal unless Tehran agreed to back down over its nuclear programme, contradicting Washington’s official stance that the Israeli action was unilateral.

“There has already been great death and destruction, but there is still time to make this slaughter, with the next already planned attacks being even more brutal, come to an end,” the US president said in a social media post.

In another post, Trump suggested Israel had attacked a day after a 60-day deadline he had given Iran to secure a deal had run out, and indicated vaguely that Iran might have a “second chance”.

“Dozens of [Israeli air force] jets completed the first stage that included strikes on dozens of military targets, including nuclear targets in different areas of Iran,” the statement said.

Netanyahu said Iran had not only been building up its supply of fissile enriched uranium, with enough for nine warheads, but had also taken unprecedented steps towards building bombs.

“In recent months, Iran has taken steps that it has never taken before, steps to weaponise this enriched uranium, and if not stopped, Iran could produce a nuclear weapon in a very short time. It could be a year. It could be within a few months, less than a year. That is why we have no choice but to act and act now. The hardest decision any leader has to make is sworn in danger before it is fully materialised,” he said, pointing to the western allies’ failure to stop Nazi aggression in the 1930s.

The IAEA board ruled on Thursday that Iran was in violation of its obligations under the nuclear non-proliferation treaty for its failure to cooperate fully with IAEA inspections and for amassing an estimated 400kg of highly enriched uranium. Western intelligence assessments until now have generally said that while Iran is stockpiling the components of a bomb, it had not taken the final decision to build one.
 
Back
Top Bottom