Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

BREAKING:

The U.S. starts moving its naval assets to the Middle East.

The USS Thomas Hudner and another destroyer have been sent toward the region.

They are expected to shoot down any Iranian ballistic missiles fired toward Israel or U.S. forces in the region.
 
—❗️🇮🇱/🇮🇷 WATCH: Hypersonics impact in Tel Aviv
 

Attachments

  • VID_20250613_220847_579.mp4
    838.6 KB
Mtu anabomoa Vinu vyako vya Nyuklia, anaua majenerali wako karibu 20, alafu unaenda kupiga makombora nusu saa,

Iran wamsikilize Trump, waachane na Nyuklia, wawe kama Saudi na UAE😀 😀

Anayetaka tubet aje, Iran itakuwa kama Saudi au UAE, there is no way akapigana na Marekani wala kushambulia kambi za Marekani
 
Back
Top Bottom