Kunaanza kunogaBREAKING:
The U.S. starts moving its naval assets to the Middle East.
The USS Thomas Hudner and another destroyer have been sent toward the region.
They are expected to shoot down any Iranian ballistic missiles fired toward Israel or U.S. forces in the region.
Unaweka vitu vya miaka iliyo pitafor those who says the air defense was sleeping. what is this
Ayatollah aka jiona mwamba 🤣🤣🤣before he has nothing left
Ww una matatzoKweli lakini mimi naona kama huo ndio mwisho wa kitaifa kilicho undwa na Western. Iran si nchi ya kushindwa vita na kataifa kanaitwa israel tunajua wazi USA, UK. France. German, Italy wote hao na warabu wanansaidia sasa hivi Israel kuangusha hizo drones je watazuia Hypersonic
Hii ni mbaya na yaonesha Israel kafanikisha lengo lao🇮🇱🇮🇷Radiological and chemical contamination detected inside nuclear facilities in Natanz, Iran (c) IAEA chief Grossi
Mkuu huwez kuwa mtemi unaua raia wako unawalazimisha wafuate sheria zako za dini alafu utegemee wote wawe wazalendo haiwezekanKuna udhaifu mkubwa sana kwenye mfumo wa jeshi la Iran na mfumo wote wa ulinzi wa Iran.
Intelenjesia yao pia inaonekana Ina udhaifu mkubwa sana na inamoles wengi sana ndani yake ambao mfumo umeshindwa kabisa kuwatambua.
Ndani ya jeshi la Iran na taasisi yake ya ujasusi pamoja nakuwepo mapandikizi ya moja kwa moja ya Israel lakini pia inaonekana kuna usaliti mkubwa sana kutoka kwa waIran wenyewe.
Kwa hali ilivyo, Iran mwenyewe ndio anajua nini cha kufanya dhidi ya Israeli kupitia tathmini ya wale ambao bado ni wazalendo wa Iran na namna anavyoijua mwenyewe mifumo yake.
Na hayajaua hata mende hapo tel mavuzi kweli muajemi maamumakumbe wamerusha makombora 300
Netanyau---More is on the way. The regime does not know what hit them, or what will hit themNetanyahu says the war with Iran will be long. The first attack was successful, but the war "will be long - longer than we are used to."
He urged Israelis to "strengthen patience, faith, and confidence in victory."
Contributed by @inside_IL_intel