cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 2,169
- 2,540
Mpaka Rubani wanaye claim ya Iran, tusubiri tuone.
Baba Mwajuma.....Zimekwenda ndege 200....Ukiangusha moja umefanya kitu kweli, Please think critically
Mpaka Rubani wanaye claim ya Iran, tusubiri tuone.
Shida ya hii vita, media zitakuwa ziko biased. Lazima zitamoendelea mtoto pendwa bila kutoa fact
Shida ya hii vita, media zitakuwa ziko biased. Lazima zitamoendelea mtoto pendwa bila kutoa fact
Shida ya hii vita, media zitakuwa ziko biased. Lazima zitamoendelea mtoto pendwa bila kutoa fact
Inaliamisha lipi hilo Mkuu......?Leo hakuna kulala
Iran inaliamsha tena muda huu
Hii ni taatifa moja kwa moja toka Tehran unaporipotia mkuu. Hivi umepata nafasi ya kulala hata nusu saa shehe wangu?Khordak zimerudi kazini.
Mashambulizi yamezuiliwa.
Wewe endelea kujiliza tu na kutafuta visingizio. Israel ni Baba lao!!!Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.
Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.
Any wa Iran atalipa tu time itaongea.
Utoto unao wewe unayelialia kwa kujifariji. Israel ni Baba lao!!Una utoto ina shangaza Jf imebadilika sana
Toka lini kenge wakachinja nyie si mnan'yonga tu watu tuna chinja mbuzi we una'nyonga kuku si ujinga huo.Jana hiyo mimi mwenyewe ilibidi nichinje kuku kusherehekea kipondo cha Israel kwa magaidi wa Iran!!!
Poleni sana wajukuu wa mkosa nyumbaWewe endelea kujiliza tu na kutafuta visingizio. Israel ni Baba lao!!!
Endelea tu kujifariji baada ya Iran kupigwa kipigo cha Mbwa-Koko!!Ukraine alikuwa akitangaza ana ua mageneral wa Russia kila siku mwanzo wa vita lakini mpaka leo Russia bado yupo ndani ya nchi ya Ukraine.
Ubaya wa vita upo tofauti na unavyo fikiriwa na wengi humu
Safari hii Mtanyooka tu!!Toka lini kenge wakachinja nyie si mnan'yonga tu watu tuna chinja mbuzi we una'nyonga kuku si ujinga huo.
Na hii ndio ngumi iliyofichwa na Israel na US.Tatizo pia vijana wengi wa iran wanataka maisha ya kisasa hawataki mambo ya ufia dini kwa hiyo ni rahisi utawala wa ayatollah kuanguka