mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
HahahahaAyatollah kimsboy yupo mafichoni
Ngoja Khamenei akiuliwa ataelewaUkraine alikuwa akitangaza ana ua mageneral wa Russia kila siku mwanzo wa vita lakini mpaka leo Russia bado yupo ndani ya nchi ya Ukraine.
Ubaya wa vita upo tofauti na unavyo fikiriwa na wengi humu
Wale ni jihadist ,Death is their path of glory . Wale usifikirie huko ...Ndio maana wanaitwa mashahidi ,rejea tangu imamu wao hao mashia ...Nafikriri huwajui ...Hata wazungu wanawaogopa zaidi ya kufanya intelejensia ya umakini sana.Ngoja Khamenei akiuliwa ataelewa
Kidume anasaidiwa na nchi za kiarabu kama zote na US kuzuia missiles lakini zinapenya kama nyoka anaingia pangoni..Kwa akili za kufanya TAQIYYAH hizo mnazo lakini ukweli utabaki kuwa Israel ni Kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Uajemi Israel inatamba!!!!
Mchokozi nii Israel Huwa mnajitoa fahamunhamna tofauti na wanasisiemuVita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Aloanzisha au analipa? We ndinaKuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
Hivi sasa mifumo ya ulinzi imesambazwa, anga lipo wazi, hata JWTZ wakienda na zile ndege zao za maonyesho wanatandika, hapo sasa houthis kwao ni furaha, wanajipigia tu..Tel aviv asubui hii
tulia dawa ikuingieShambulizi la Israel ni Ugaid wawazi Israel amuezi muirani kupiga Vita yoyote iwe angani iwe majini iwe Ardhin!!!
i anachoweza Israel kwa Iran ni Ugaid tu sio zaidi ya apo. !!
Jamani macho tunayo Israel inapigwa live na Iran !! Yani Mwanaume yupo Iran lkn anaibamiza Israel!!!
lkn Israel inapiga Iran kigaid kwa kujificha ficha wameandaa vi Drone venye milipuko ndani ya Iran !!!
kisha wakawafatilia kigaid wanapolala Makamanda wa Iran !!
ila wajinga wanawasifia Waisrael kumbe ni MAGAID tu awana nguvu kama Media zao zilivofanya propaganda,, Telaviv inapigwa Live akuna chenga,
Peleka kwanza gomaIsrael na iran wasipo behave, tutatuma jeshi la tz likawatie adabu
Goma tumeshamaliza kazi. Safari hii uelekeo ni Middle east kwa hao malofa.Peleka kwanza goma
Kwasababu tumetawaliwa na dini + upumbavu. Kwetu facts huwa hazina nafasi, tunaendeshwa na imaniKwa nini watanzania tunapenda kushangilia vita?
Piga nikupige Israel haiwezi, watachakaa mapema.Piga nikupige imeanza lasmi asubui hii kila upande unatupa mizigo.kuna uwezekano kukatokea battle ya angani maana Iran ametuma ndege kuelekea Israel
Israel alichomuwezea Iran ni kumpiga shambulio la kushtukiza kama wao walivyopigwa la kushtukiza na Hamas. NdiyoKidume anasaidiwa na nchi za kiarabu kama zote na US kuzuia missiles lakini zinapenya kama nyoka anaingia pangoni..