Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Mkapokee maiti maana Kuna ripoti kuwa Kuna raia wamenasa kwenye jengo.
NEW: Israeli Air Force Chief:

For the first time since the war began, our fighter jets flew over Tehran last night.
 
Attachments

  • 20250614_074007.png
    20250614_074007.png
    563.6 KB · Views: 25

Attachments

  • 20250614_104740.jpg
    20250614_104740.jpg
    106.3 KB · Views: 22
Baba Mwajuma.....Zimekwenda ndege 200....Ukiangusha moja umefanya kitu kweli, Please think critically
Ndege hazidondoshi bomu kama zinakunya kwamba zinakuja juu yako na kukudondoshea, there is a reason why Iran ni nchi ya kwanza kutungua F35.

Hizo zenyewe zilizooigwa zilitegwa eneo ambalo walijua halina Air defence
 
Imetungua F-35😂😂😂😂😂 kuna ushahidi wowote au maneno tu😂
 
Ndege hazidondoshi bomu kama zinakunya kwamba zinakuja juu yako na kukudondoshea, there is a reason why Iran ni nchi ya kwanza kutungua F35.

Hizo zenyewe zilizooigwa zilitegwa eneo ambalo walijua halina Air defence
Naskia korder na bavar zimeanza kupata order za foreign export vision
 
Iran kwa miaka zaidi ya 50 wanaandamwa na nchi za magharibi, wanafahamu fika watu wanaopambana nao ni wa aina gani..

Naweza kusema, Iran ina uwezo wa kuwalisha mossad na CIA taarifa za uongo haswa wanazohitaji kwa muda huo, Iran ni wazuri sana kwenye ujanja wa kiintelijensia wa kupotosha.

Iran ndio baba wa hayo masuala akiwafundisha Hezbollah..

Jana Israel imeamini imepiga mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran, wakaamini wameweza, wakaingia mtegoni kuingiza ndegde mbili aina ya F-35, zikapigwa... na rubani ni mateka.

Israel wakasema wamepiga kwa kiasi kikubwa launchers za hypersonic missiles, na kulipua missiles city chini ya milima, badala yake majibu ya jana mossad wamekosa majibu..

Nadhani Iran ilikuwa na taarifa nini kitatokea na nini watafanya..

Iran si kama watu wanavyoifikiria, Iran si wepesi..

Mossad wamekuwa tricked kujihisi wametisha lakini kumbe hamna kitu, kumbuka 2006 ambapo mossad walichukua takribani miaka 6 kutafua missiles za hezbollah zilipo, mossad baada ya kufahamu zilipo wakaja kushambulia Lebanon usiku kucha...
Jeshi la Israel linatangaza Hezbollah imelemazwa kila kitu na haina uwezo wa kujibu tena, maghala ya silaha yamechomwa..

Kumbe intelijensia yao ya miaka 6 yote ilikuwa wanalishwa information za uongo, vyuma vikaanza kupelekwa ndani ya Israel hadi UN wakaingilia kati.

hio michezo yote aliyekuwa nyuma ni Iran, miaka 6 you can imagine mtu anatafuta silaha zilipo halafu siku anakwenda kupiga kumbe wameweka mapipa matupu na maroketi ya kizamani yamepakwa rangi..

hii imejirudia tena..
Hii chai mzee! Wapo vizuri kiitelejensia na viongozi wameuliwa wakiwa vyumbani mwao!
 
Back
Top Bottom