Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Kobazi endeleeni kutulisha matango pori shambulio la makombora matatu yaliofanikiwa kati mia ndio mmelala nalo na mmeamka nalo ndio mtamba nalo hadi sasa hivi
Sio kusema, Iran ingechapisha picha na videos kila kona. Wangefanya press mara tatu tatu wakionyesha mabaki ya F-35 iliyotunguliwa 😂Israel wangeshasema
Usifanye masihara na F-35 AdirNdo maana wanapiga kwa precision
Sawa 😂😂😂😂Naskia korder na bavar zimeanza kupata order za foreign export vision
Tuoneshe na pentagon mdogo hapo tel avivSawa 😂😂😂😂
Piga nikupige ya jana usiku hii 😂😂Piga nikupige Israel haiwezi, watachakaa mapema.
Tuoneshe na pentagon mdogo hapo tel aviv
Kwahiyo hao waliokufa israel ni top commander wa IDF kama wale matop commender wa iran waliokufa kwenye kisago cha juzi? 😂😂Afu kuna wajinga eti wanauliza Israel wamekufa wangapi Akili matope kweli milokole yetu kichefuchefu washaimbishwa uko Israel taifa teule!!!
sasa unategemea Israel itangaze kifo kwenye mashambulizi ya Iran !!?
zaid ndio utasikia kuna wameumia kidogo mikononi michubuko kwenye kucha wamepata mshtuko kidogo!!!
Tatizo Marekani na Israel wapo kwenye kuamini ukisema kweli tumekufa wangapi adui yao atapata kichwa na kuongeza nguvu ya kipigo kesho yake !!!
Sasa ndio wanasema akuna vifo au utasikia kafa Mpalestine au mwarabu muisrael !!!
Waisrael wenyewe awafi na kombora la Adui Iran !!!
kwaiyo ISRAELI +MAREKANI wate awasemagi ukweli madhara wanayopata Vitani !!!
sasa baada ya kuudanganya ulimwengu kuwa wao ndio wakuu wa Technology ya Kijesh. Sasa vip ukili kudundwa kiboya!!
kwaiyo tusitegemee kuambiwa vifo apo Israel!!
lkn Macho tunayo utajiuliza kichwani Kombora kubwa lenye kasi lipige target na kusiwe na Vifo tena ni mjini kabisa!!!
chakushangaza Israel iyoiyo inalalamika kuwa Iran ina target maeneo ya raia apo unajiongeza mwenyewe!! Kama akuna vifo unalalamika nn!!!
Hawa? 😂😂Israel alichomuwezea Iran ni kumpiga shambulio la kushtukiza kama wao walivyopigwa la kushtukiza na Hamas. Ndiyo
maana Russia tangu walivyopigwa shambulio la kushtukiza na Hitler na kuleta maafa kwao mengi, kuanzia hapo muda wote wanajiweka kwenye hali ya kivita ili wasipatwe na majanga makubwa kama hayo.
Ila piga nikupige Israel haiwezi.
Na waarabu nao wajinga. Ikitokea vita kamili nchi zao nazo zitapigwa ili kuzipunguza nguvu kambi za US huko.
Yalivyo majinga hayatumii akili yanakubali yatumike. Nchi kama Jordan, Qatar, Saudi Arabia zitashambuliwa kwa urahisi sana.
One of the injured has been pronounced dead at the scene of the fall in central Israel.Hiyo ndo tunataka piga nikupige. Siyo unyonge unyonge wa kipuuzi.