Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Walokole wataukimbia Uzi japo jana walifufuka kama wote lkn mambo sio rafiki uwanja wa Vita lkn ndio kwanza Moto umeanza!!!
 
Hiki kikirikuu ndio kilitumiwa na mosad ndani ya Iran
1749880113545.jpg
 
Israel alichomuwezea Iran ni kumpiga shambulio la kushtukiza kama wao walivyopigwa la kushtukiza na Hamas. Ndiyo
maana Russia tangu walivyopigwa shambulio la kushtukiza na Hitler na kuleta maafa kwao mengi, kuanzia hapo muda wote wanajiweka kwenye hali ya kivita ili wasipatwe na majanga makubwa kama hayo.

Ila piga nikupige Israel haiwezi.

Na waarabu nao wajinga. Ikitokea vita kamili nchi zao nazo zitapigwa ili kuzipunguza nguvu kambi za US huko.

Yalivyo majinga hayatumii akili yanakubali yatumike. Nchi kama Jordan, Qatar, Saudi Arabia zitashambuliwa kwa urahisi sana.
Iran kwa miaka zaidi ya 50 wanaandamwa na nchi za magharibi, wanafahamu fika watu wanaopambana nao ni wa aina gani..

Naweza kusema, Iran ina uwezo wa kuwalisha mossad na CIA taarifa za uongo haswa wanazohitaji kwa muda huo, Iran ni wazuri sana kwenye ujanja wa kiintelijensia wa kupotosha.

Iran ndio baba wa hayo masuala akiwafundisha Hezbollah..

Jana Israel imeamini imepiga mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran, wakaamini wameweza, wakaingia mtegoni kuingiza ndegde mbili aina ya F-35, zikapigwa... na rubani ni mateka.

Israel wakasema wamepiga kwa kiasi kikubwa launchers za hypersonic missiles, na kulipua missiles city chini ya milima, badala yake majibu ya jana mossad wamekosa majibu..

Nadhani Iran ilikuwa na taarifa nini kitatokea na nini watafanya..

Iran si kama watu wanavyoifikiria, Iran si wepesi..

Mossad wamekuwa tricked kujihisi wametisha lakini kumbe hamna kitu, kumbuka 2006 ambapo mossad walichukua takribani miaka 6 kutafua missiles za hezbollah zilipo, mossad baada ya kufahamu zilipo wakaja kushambulia Lebanon usiku kucha...
Jeshi la Israel linatangaza Hezbollah imelemazwa kila kitu na haina uwezo wa kujibu tena, maghala ya silaha yamechomwa..

Kumbe intelijensia yao ya miaka 6 yote ilikuwa wanalishwa information za uongo, vyuma vikaanza kupelekwa ndani ya Israel hadi UN wakaingilia kati.

hio michezo yote aliyekuwa nyuma ni Iran, miaka 6 you can imagine mtu anatafuta silaha zilipo halafu siku anakwenda kupiga kumbe wameweka mapipa matupu na maroketi ya kizamani yamepakwa rangi..

hii imejirudia tena..
 
Iran wana AD system za aina gani? S300 au S400 za Mrussi? Au wanatumia zao? Kwenye AD Iran wameonyesha udhaifu mkubwa sana.
Pili kuishambulia Israel kwa kutumia drone huku ni kuharibu silaha. Uzoefu unaonyesha ni rahisi sana kudungua drone haswa ukiwa na mifumo bora ya ulinzi wa anga wa viwango vya irone dome unaotumiwa na mazayuni.
Ndege zinazorushwa na israel zinaruka toka wapi? Ni kwenye airbase zao zilizopo ndani ya israel? Jordan? Au kwenye kambi za marekani hapo midle east?
HIi vita iran atapata hasara kubwa sana. Atarudishwa nyuma zaidi ya miaka 50.
We fikiria Nucler facility iliyojengwa kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu inaenda kuangamizwa kwa siku moja. Wataalamu wake wanauliwa.!! Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa Iran.
Watetezi na wapiga kelele wake wanafurahia mabaki ya Missile kutua Tel Aviv bila kuleta hasara kubwa kwa Yahudi. Vita vya kutumia makombora ya masafa marefu peke yake huwezi kumpa maumivu makubwa adui yako hasa kwenye kumzuia asikushambulie.
 
Iran kwa miaka zaidi ya 50 wanaandamwa na nchi za magharibi, wanafahamu fika watu wanaopambana nao ni wa aina gani..

Naweza kusema, Iran ina uwezo wa kuwalisha mossad na CIA taarifa za uongo haswa wanazohitaji kwa muda huo, Iran ni wazuri sana kwenye ujanja wa kiintelijensia wa kupotosha.

Iran ndio baba wa hayo masuala akiwafundisha Hezbollah..

Jana Israel imeamini imepiga mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran, wakaamini wameweza, wakaingia mtegoni kuingiza ndegde mbili aina ya F-35, zikapigwa... na rubani ni mateka.

Israel wakasema wamepiga kwa kiasi kikubwa launchers za hypersonic missiles, na kulipua missiles city chini ya milima, badala yake majibu ya jana mossad wamekosa majibu..

Nadhani Iran ilikuwa na taarifa nini kitatokea na nini watafanya..

Iran si kama watu wanavyoifikiria, Iran si wepesi..

Mossad wamekuwa tricked kujihisi wametisha lakini kumbe hamna kitu, kumbuka 2006 ambapo mossad walichukua takribani miaka 6 kutafua missiles za hezbollah zilipo, mossad baada ya kufahamu zilipo wakaja kushambulia Lebanon usiku kucha...
Jeshi la Israel linatangaza Hezbollah imelemazwa kila kitu na haina uwezo wa kujibu tena, maghala ya silaha yamechomwa..

Kumbe intelijensia yao ya miaka 6 yote ilikuwa wanalishwa information za uongo, vyuma vikaanza kupelekwa ndani ya Israel hadi UN wakaingilia kati.

hio michezo yote aliyekuwa nyuma ni Iran, miaka 6 you can imagine mtu anatafuta silaha zilipo halafu siku anakwenda kupiga kumbe wameweka mapipa matupu na maroketi ya kizamani yamepakwa rangi..

hii imejirudia tena..
Meya wa "Ramat Gan" iliyoko mashariki mwa Tel Aviv amesema:

"Tumeshuhudia madhara makubwa huko Ramat Gan tangu siku za Vita ya Ghuba na pia wakati wa Operesheni 'Iron Swords', lakini tukio kama hili halijawahi kutokea mjini hapa. Hili ni tukio la kiwango tofauti kabisa."

Kilichotokea Israel kimewashitua hata wao wenyewe na washirika wake.

Israel ina layer takribani mbili na ya tatu ni ya kwao. Wanalindwa na US, UK na France, layer ya kwanza hiyo.

Ya pili wanalindwa na Jordan na Saudi Arabia. Ya tatu layer ya kwao wenyewe lakini bado makombora yamepita na ku hit target muhimu.
 
Sema Iran ina technology kubwa kwenye makombora aisee jamaa wameemda shule nikicheki nyambizi inavyo fyatua makombora mpaka mwili una sisimka
Na baada ya kupigwa tukio la kushtukiza wame activate mtambo wao wa kutungua makombora.

Makombora mengi baada ya tukio la kwanza yamedunguliwa angani, kitu ambacho Israel walidhani wamehit target za awali wamesambaratisha hii kitu. Hivyo wakawa wanapiga mashambulizi ya haraka haraka ili kuidhoofisha Iran.

Lakini matokeo yake ni tofauti. Makombora mengi yamedunguliwa.
 
Meya wa "Ramat Gan" iliyoko mashariki mwa Tel Aviv amesema:

"Tumeshuhudia madhara makubwa huko Ramat Gan tangu siku za Vita ya Ghuba na pia wakati wa Operesheni 'Iron Swords', lakini tukio kama hili halijawahi kutokea mjini hapa. Hili ni tukio la kiwango tofauti kabisa."

Kilichotokea Israel kimewashitua hata wao wenyewe na washirika wake.

Israel ina layer takribani mbili na ya tatu ni ya kwao. Wanalindwa na US, UK na France, layer ya kwanza hiyo.

Ya pili wanalindwa na Jordan na Saudi Arabia. Ya tatu layer ya kwao wenyewe lakini bado makombora yamepita na ku hit target muhimu.
Iran ambacho mpaka sasa inafeli na ni suala wanapaswa kulifanyia kazi, ni kuanza kuwapeleka kuzimu wale viongozi wa kizayuni wa karibu wa Neta wote ambao wanatishia usalama wake..

Lakini naamini kuna mengi zaidi yanakuja..
 
Watafika tu huko! Ni suala la muda tu.

Kwani awali Irani haikuwahi kushambulia makazi ya raia. Lakini awamu hii kashambulia makazi ya raia ya Israel.

Atapiga tu huko! Tatizo la Israel anafikiri michezo michafu anaiweza yeye tu.
 
Back
Top Bottom