Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Netanyahu au sa mbona kakimbia kakuwacha we mjinga leo vibaraza ulivyo kuwa ukilalia pale Tela Aviv vimevunjwa sijui utalala wapi. Au Sarah kakuachia yule mbwa wao na wewe uchunge jumba lao
Kwa akili za kufanya TAQIYYAH hizo mnazo lakini ukweli utabaki kuwa Israel ni Kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Uajemi Israel inatamba!!!!
 

Attachments

  • IMG_0202.mp4
    29.8 MB
Iran asubuhi hii imeshambulia israel na makombola ya aina mbalimbali mengi ya makombola hayo yalipopolewa na mengine yaliangukia sehem za wazi. Majaki ya makombola yaliangukia sehemu mbalimbali za mji na kuleta uharibifu mkubwa!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    952.8 KB
Hi
International law generally prohibits the intentional killing of heads of state at their official residences unless:

They are taking direct part in hostilities, and

The attack meets the tests of military necessity, distinction, and proportionality.

Otherwise, such an act may amount to an unlawful assassination, violation of state sovereignty, and potentially a war crime.

Mfano👎👎

✅ 1. Principle of Distinction (International Humanitarian Law - IHL)
IHL, particularly the Geneva Conventions and their Additional Protocols, requires parties to an armed conflict to distinguish between combatants and civilians.

Heads of state, such as presidents or prime ministers, are presumed civilians unless they take a direct part in hostilities (e.g., commanding military operations).

State Houses and official residences are civilian objects unless they are used for military purposes.

🔹 So: If a head of state is not taking part in hostilities and the State House is not a military target, attacking them is unlawful.
Zo Sheria ni kwa nchi masikini tu
Kuna udhaifu mkubwa sana kwenye mfumo wa jeshi la Iran na mfumo wote wa ulinzi wa Iran.

Intelenjesia yao pia inaonekana Ina udhaifu mkubwa sana na inamoles wengi sana ndani yake ambao mfumo umeshindwa kabisa kuwatambua.

Ndani ya jeshi la Iran na taasisi yake ya ujasusi pamoja nakuwepo mapandikizi ya moja kwa moja ya Israel lakini pia inaonekana kuna usaliti mkubwa sana kutoka kwa waIran wenyewe.

Kwa hali ilivyo, Iran mwenyewe ndio anajua nini cha kufanya dhidi ya Israeli kupitia tathmini ya wale ambao bado ni wazalendo wa Iran na namna anavyoijua mwenyewe mifumo yake.
Uchambuzi wa kitalaamu sana, wengi hawajui
 
Tuko vizurii
1000040971.jpg
 
Iran wana AD system za aina gani? S300 au S400 za Mrussi? Au wanatumia zao? Kwenye AD Iran wameonyesha udhaifu mkubwa sana.
Pili kuishambulia Israel kwa kutumia drone huku ni kuharibu silaha. Uzoefu unaonyesha ni rahisi sana kudungua drone haswa ukiwa na mifumo bora ya ulinzi wa anga wa viwango vya irone dome unaotumiwa na mazayuni.
Ndege zinazorushwa na israel zinaruka toka wapi? Ni kwenye airbase zao zilizopo ndani ya israel? Jordan? Au kwenye kambi za marekani hapo midle east?
HIi vita iran atapata hasara kubwa sana. Atarudishwa nyuma zaidi ya miaka 50.
We fikiria Nucler facility iliyojengwa kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu inaenda kuangamizwa kwa siku moja. Wataalamu wake wanauliwa.!! Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa Iran.
 
Taarifa waliyotoa Israel ni kuwa kwa zaidi ya mwaka Mossad na makomandoo wake waliingia Iran, wakaanzisha kambi za drone na kusuka mipango ya kulipua sehemu kubwa ya hizi Air defence, kwa hiyo Jana operation ilifanyika ndani na nje ya Iran kuharibu air defences,
Shambulizi la Israel ni Ugaid wawazi Israel amuezi muirani kupiga Vita yoyote iwe angani iwe majini iwe Ardhin!!!

i anachoweza Israel kwa Iran ni Ugaid tu sio zaidi ya apo. !!

Jamani macho tunayo Israel inapigwa live na Iran !! Yani Mwanaume yupo Iran lkn anaibamiza Israel!!!

lkn Israel inapiga Iran kigaid kwa kujificha ficha wameandaa vi Drone venye milipuko ndani ya Iran !!!

kisha wakawafatilia kigaid wanapolala Makamanda wa Iran !!

ila wajinga wanawasifia Waisrael kumbe ni MAGAID tu awana nguvu kama Media zao zilivofanya propaganda,, Telaviv inapigwa Live akuna chenga,
 
Back
Top Bottom